Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Kazi mnayo
 
Ukiwauliza sasa nataka kuamini Mungu yupo niamini Mungu yupi kati ya hawa 300 kila mmoja anavutia wa kwake na kumkejeli wa mwingine 😂😂😂
Ndo nilichouliza hapo.Juu 🤣🤣
Kwamba Wahindu wana Historia Yao ya Uumbaji na Miungu yao na Mungu wao na Shinto wachina na Budha hivyo hivyo..
Wanaofanana ni Wakristo,Waislam na Wayahud pekee ndo wanashea Vijisehemu vya Mungu wao..

Sasa unamuuliza kati ya Mungu wa Ibrahimic Religions (Japo hata wao wna Mungi tofaifi) na Mungu wa Dini zingine nani yuko sahihi
 
Yaani Mimi nikiwa Nina umri mdogo tu wa miaka 8 niliwahi jiuliza kwamba wenye dhambi tutachomwa moto milele na milele huku wengine wakiimba na kusifu milele,inawezekanaje jambo hili?
Ingawa nilizaliwa kwenye dini haswa usipoenda kanisani ni kichapo

Kaka yangu mkubwa ni padre parokia Fulani Hana mke wala mtoto,Mimi Nina vijana wangu nikiwaangalia nashusha hormone ya dopamine
 
Hoja yako hasa ni nini?
Soma andiko leta swali, nimeeleza vitu kadhaa ambavyo navijua kwa uelewa ambao amenibaliki muumba na kwa yakini yangu, na hoja zenu zisizo na mashiko juu ya mungu aliye juu aliumba kila jambo na mambo na vitu na yeye ni mtukufu katuka hana shaka ndani yake. mnaletea hadithi za kuna miungu sijui 300 duniani na huyu mungu hewa ambaye mna amini nyinyi.
 
Binafsi naamini Mungu yupo kwa sababu hizi
- Hakuna mwenye uwezo wa kutengeneza hii technology tunayoiona ni wizi wa maarifa. Ndo maana kitabu cha Enock hakiko hadharani, mle zipo hadi habari za Aliens.

- Utabiri wa vitabu vya dini. Hata kama bible ni kitabu cha hekaya lakini ni nani wangekaa na kutabiri haya tunayoyaona leo. Waliosoma Daniel (ndoto ya Nebkadineza) tunaelewana.

Mafanikio ya Watu waovu. Wazungu, wachina na Wajapan wana mafanikio makubwa na ni watu wachafu sana. Kama ulishaajiriwa na mchina utanielewa. Kama tunavyojua dunia ipo chini ya mwovu. Hapa hamna cha ubishi - kumtumikia shetani mali njenje. Sawa mtawatetea na kuwaita magineas lakini tazama maisha yao. Genius anawezaje kuwa shoga, kutengeneza mabom ya kuua watu na sio kusuruhisha? Genius huyohuyo anatengeneza magonjwa library, genius huyohuyo ni mbinafsi, hawezi share na wewe skills zozote. Na genius huyohuyo nia yake ni kukunyonya. Simanishi Afrika hatuna uovu.

Energy, kama Yesu au Mungu hayupo Kwanini ukitaja jina la Yesu watu wanaanguka mapepo. Hapa simanishi wachungaji wakubwa tu. Hata nyimbo za gospel ukizipiga mbele ya mtu mwenye mapepo utaona anachange mood. Hii nimeona kwa watu.

Anyway, naweza nisiwe sahihi lakini tukumbuke hatupaswi kuamini au kutokuamini kizembe. Mwisho kabisa, tusisahau Mungu hana muda wa kudhihirisha live kama tunavyotaka. Sababu sisi ni wenye dhambi mbele zake na sio wote na hao wachache wanaomtukuza anaweza kulizika nao. Kumbuka aliaza na mtu mmoja tu.
Asante
 
Binafsi naamini Mungu yupo kwa sababu hizi
- Hakuna mwenye uwezo wa kutengeneza hii technology tunayoiona ni wizi wa maarifa. Ndo maana kitabu cha Enock hakiko hadharani, mle zipo hadi habari za Aliens.

- Utabiri wa vitabu vya dini. Hata kama bible ni kitabu cha hekaya lakini ni nani wangekaa na kitabiri haya tunayoyaona leo. Waliosoma Daniel (ndoto ya Nebkadineza) tunaelewana.

Mafanikio ya Watu waovu. Wazungu, wachina na Wajapan wana mafanikio makubwa na ni watu wachafu sana. Kama ulishaajiriwa na mchina utanielewa. Kama tunavyojua dunia ipo chini ya mwovu. Hapa hamna cha ubishi - kumtumikia shetani mali njenje. Sawa mtawatetea na kuwaita magineas lakini tazama maisha yao. Genius anawezaje kuwa shoga, kutengeneza mabom ya kuua watu na sio kusuruhisha? Simanishi Afrika hatuna uovu.

Energy, kama Yesu au Mungu hayupo Kwanini ukitaja jina la Yesu watu wanaanguka mapepo. Hapa simanishi wachungaji wakubwa tu. Hata nyimbo za gospel ukizipiga mbele ya mtu mwenye mapepo utaona anachange mood. Hii nimeona kwa watu.

Anyway, naweza nisiwe sahihi lakini tukumbuke hatupaswi kuamini au kutokuamini kizembe. Mwisho kabisa, tusisahau Mungu hana muda wa kudhihirisha live kama tunavyotaka. Sababu sisi ni wenye dhambi mbele zake na sio wote na hao wachache wanaomtukuza anaweza kulizika nao. Kumbuka aliaza na mtu mmoja tu.
Asante
Hizo ni Hadithi na filamu tu ni sawa na mtu anae amini yesu atarudi duniani kumkomboa
 
Soma andiko leta swali, nimeeleza vitu kadhaa ambavyo navijua kwa uelewa ambao amenibaliki muumba na kwa yakini yangu, na hoja zenu zisizo na mashiko juu ya mungu aliye juu aliumba kila jambo na mambo na vitu na yeye ni mtukufu katuka hana shaka ndani yake. mnaletea hadithi za kuna miungu sijui 300 duniani na huyu mungu hewa ambaye mna amini nyinyi.
Wewe haujaumbwa na mungu science ndio imekuuumba hakuna mungu kama yupo thibitisha uwepo wake
 
😃😃😃😃Mtu yeyote anae amini mungu namuonaga Hana shida pahala shida kubwa sana yeye na huyo mungu wake 😃😃

Ndo nilichouliza hapo.Juu 🤣🤣
Kwamba Wahindu wana Historia Yao ya Uumbaji na Miungu yao na Mungu wao na Shinto wachina na Budha hivyo hivyo..
Wanaofanana ni Wakristo,Waislam na Wayahud pekee ndo wanashea Vijisehemu vya Mungu wao..

Sasa unamuuliza kati ya Mungu wa Ibrahimic Religions (Japo hata wao wna Mungi tofaifi) na Mungu wa Dini zingine nani yuko sahihi
Inabidi waungane kwanza wa mchague Mungu mmoja kati ya hao halafu ndio waseme sasa🤔
 
Sasa mimi na nani upeo wake mdogo ndomaana nasema ukweli msio amini mungu amna akili timamu eti simu unaamini kwa kuwa unaiyona kwani mbingu uiyoni bahari uzioni eboo!
Japo mm natambua uwepo wake, lakini ww mwenye mada uwezo wako wa kujenga hoja mdogo sana..
Mtu kakwambia simu imetengenezwa na mtu na ni kweli kuna uthibitisho wa kutengenezwa, sasa jaribu kutetea hoja yako ya kusema mbingu imetengenezwa, HOW!!?? hii mada nzito kuianzisha mkuu
 
Back
Top Bottom