Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kama unashindwa kuthibitisha yupo hauna ruhusa ya kusema viumbe vyote ni vyake.

Unamaanisha nini unaposema unathibitisha kwa kutumia ufunuo?

Huo ufunuo umetoka wapi? Huo ufunuo unathibitisha vipi kwamba Mungu yupo

ufunuo umetoka wapi hayo uliyosoma yakakuaminisha kuwa hakuna mungu ukakubali upagani umeyasoma kutoka wapi? (upotovu)

Hapo hakuna upagani kwa sababu wapagan nao wanaamini tu kama nyie sema nyie kujiona imani yenu ipo sahihi zaidi ,mkawaita hao wanao amini kama nyie tu wapagani .
Mtu yeyote asiye amini mungu ni mpagani, wapagani ni wale wasio amini mungu na uwepo wake yeye uwa anachagua kuamini kutokuwepo kwa mungu na viashilia vyake ni mpagani sema mnataka kujisafisha msionekana mmepotoka!
 
Hela ni nini kwanza?

Nikiwa na hela ya zamani isiyotumika tena, halafu ukaniuliza nina hela, nijibu ndiyo au siyo tu, bila maelezo, hapo nakujibu ndiyo au siyo?

Kwa nini unaona jibu kinaloweka muktadha vizuri ni tatizo?

Una akili ndogo hivyo kiasi kwamba mtu akikupa jibu kenye muktadha kidogo tu linakurusha akili?
Ukiulizwa umekula ? Unajibu ndio au hapana sio sitaki kula ila unaweza tumia sitaki kula baada ya kujibu ndio au sio na hii haitakuwa sababu Bali ni maamuzi Yako hivyo naweza kukuuliza zaidi
 
Ww unaweza kunithibitishia kuwa una akili?

Kama unazo niambie ni rangi gani? Zimekaaje?

Mwenda wazimu ana kichwa kama ww lkn yeye anaambiwa hana akili au mgonjwa wa akili, kidhibiti gani kilichothibitisha kuwa hana akili?

Swali hilo huwezi kulijibu milele.

Sio kila kisichoonekana maana yake hayupo.

Zipo dalili zaidi ya 10000kuthibitisha kuwa Mungu yupo.

Ww huna dalili hata moja, maana kwa akili iliyosalimika inathibitisha uwepo wa Mungu.

Mtoto mdogo tu ambae akili yake ipo salama haijachafuliwa ukimuuliza Mungu yupo wapi? Atakwambia yupo juu.
kwa hiyo Mungu ni akili ?
 
Mtu yeyote asiye amini mungu ni mpagani, wapagani ni wale wasio amini mungu na uwepo wake yeye uwa anachagua kuamini kutokuwepo kwa mungu na viashilia vyake ni mpagani sema mnataka kujisafisha msionekana umepotoka!
Unakurupuka sana fikiria ulichoandika ni sahihi 🤔
 
Hapana,

Wewe hata hujui mpagani ni nani.

Neno pagan ni neno lililotumiwa na watu wa dominant culture, hususan wazungu wakristo, kuwadharau watu walioamini miungu tofauti, hususan miungu ambayo ilikuwa haijulikani kwao Ulaya.

Kwa hivyo walivyokuja Africa wakakuta dini za asili wakaziita upagani.

Hata dini za asili za Ulaya waliziita upagani.

Hivyo, utaona kuna watu wengi wameitwa wapagani kwa sababu waliamini miungu ya tofauti na Ukristo/Uislamu tu.

Wapagani wanaamini miungu yao. Wasioamini miungu wala Mungu si wapagani.

Zaidi, kwa watu waliosoma nankuelimika, kwa kiasi fulani, hili neno la mpagani ni neno lisilotumika sana, ni neno offensive, ni kama vike kusema mtu mshenzi, ni neno la kikoloni lenye kubeba maana ya kwamba dini zisizokuwa za wakoloni ni za washenzi.

Ingawa kuna watu wanalitumia kujitambukisha wao wenyewe na kukumbatia miungu yao ya asili.
 
Ukiulizwa umekula ? Unajibu ndio au hapana sio sitaki kula ila unaweza tumia sitaki kula baada ya kujibu ndio au sio na hii haitakuwa sababu Bali ni maamuzi Yako hivyo naweza kukuuliza zaidi
Usinipangie jinsi ya kujibu.

Ukiniuliza nimekula naweza kuanza kwa kukuambia sijala na sitaki kula ku pre-empt maswali mengine kama naona unaelekea kunipa offer ya chakula nisiyoitaka.

Kama nimekuambia sijala na sitaki kula ushapata jibu kwamba sijala na nimekuongezea kuwa sitaki kula, tatizo lako nini hapo?

Mbona jibu lako nishakupa na maelezo ya ziada?

Kwa nini unafanya kama sijakupa jibu lako nimekwepa swali wakati nimekupa jibu lako na maelezo ya ziada kuweka muktadha vizuri zaidi?

What's your problem?
 
Unakurupuka sana fikiria ulichoandika ni sahihi 🤔
Uwo ndo ukweli ikiwa uamini dini yeyote maanaake una amini kutokuwepo kwa mungu na viashilia vyake wewe ni mpagani, ikiwa huamini katika mungu mmoja kwa sisi wa islamu tunakuita kafiri mshirikina unae abudu kinyume kwa jeuri ya kutokumpa heshima yake muumba mmoja
 
Hapana,

Wewe hata hujui mpagani ni nani.

Neno pagan ni neno lililotumiwa na watu wa dominant culture, hususan wazungu wakristo, kuwadharau watu walioamini miungu tofauti, hususan miungu ambayo ilikuwa haijulikani kwao Ulaya.

Kwa hivyo walivyokuja Africa wakakuta dini za asili wakaziita upagani.

Hata dini za asili za Ulaya waliziita upagani.

Hivyo, utaona kuna watu wengi wameitwa wapagani kwa sababu waliamini miungu ya tofauti na Ukristo/Uislamu tu.

Wapagani wanaamini miungu yao. Wasioamini miungu wala Mungu si wapagani.

Zaidi, kwa watu waliosoma nankuelimika, kwa kiasi fulani, hili neno la mpagani ni neno lisilotumika sana, ni neno offensive, ni kama vike kusema mtu mshenzi, ni neno la kikoloni lenye kubeba maana ya kwamba dini zisizokuwa za wakoloni ni za washenzi.

Ingawa kuna watu wanalitumia kujitambukisha wao wenyewe na kukumbatia miungu yao ya asili.
utumbo!
 
Uwo ndo ukweli ikiwa uamini dini yeyote maanaake una amini kutokuwepo kwa mungu na viashilia vyake wewe ni mpagani, ikiwa huamini katika mungu mmoja kwa sisi wa islamu tunakuita kafiri mshirikina unae abudu kinyume kwa jeuri ya kutokumpa heshima yake muumba mmoja
😂😂😂 sijui kama unaelewa ulichoelekezwa na Kiranga 🤔
 
kwa hiyo Mungu ni akili ?
Hivi shule ulienda kusomea ujinga?

Nimeletea mfano wa akili na wala sikusema akili ndio Mungu, acha kujitia upunguani.

Akili iliyosalimika ndio chombo kinachokusaidia Kumjua Mungu.

Labda nikueleweshe tena swali langu lipo hapa.

Nikikuuliza swali hili.. hivi ww una akili au hauna akili?

Na kama unazo zipoje, rangi gani? Fafanua akili ni nini?

Na kwanini mtu huyu anaambiwa ana akili na huyu hana akili?

Kidhibiti gani kimethibitisha kuwa huyu ana akili na huyu hana akili?

Kabla ya kufika kumjadili Mungu, jibu swali wala usikwepe!!

Majibu mengine huwa yanajibiwa swali kwa swali.
Tuanzie hapo.
 
Usinipangie jinsi ya kujibu.

Ukiniuliza nimekula naweza kuanza kwa kukuambia sijala na sitaki kula ku pre-empt maswali mengine kama naona unaelekea kunipa offer ya chakula nisiyoitaka.

Kama nimekuambia sijala na sitaki kula ushapata jibu kwamba sijala na nimekuongezea kuwa sitaki kula, tatizo lako nini hapo?

Mbona jibu lako nishakupa na maelezo ya ziada?

Kwa nini unafanya kama sijakupa jibu lako nimekwepa swali wakati nimekupa jibu lako na maelezo ya ziada kuweka muktadha vizuri zaidi?

What's your problem?
Haya komaa Sasa naona umepandwa na hasira wengi wenu Huwa mnakataa uwepo wa MUNGU kwa sababu zenu binafsi na hazina mashiko ingekuwa unajiamini ungenijibu swali dogo sana najua umegundua upungufu wako katika Hilo kila laheri
 
Hao wapagani ni wapuuzi sijapata kuona!
 
Back
Top Bottom