Zaidi ya kujitetea sijaona hoja ya kumthibitisha hapo.
Poa.
Kazi yangu nimemaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya kujitetea sijaona hoja ya kumthibitisha hapo.
Kwani Mkuu Imani Unaweza Kuithibitisha Kama Elimu au Maarifa Kutumia Fact analysis??Uongo wake uko wapi ?
Nani alikwambia masuala ya kiimani sio kweli ?
Unajua ya kuwa katika elimu kubwa na bora kushinda zote ni elimu ya kumjua Muumba ?
Naomba ujibu maswali kwa usahihi, unaposema ni masuala ya kiimani unaonyesha huijui Imani ni nini ?
Hoja dhaifu sana hiyo ya kuthibitisha uwepo wa mungu.......Mbona binadamu wanafanya maovu halafu wanamsingizia shetani hasiyekuwepo?
Kwani Mkuu Imani Unaweza Kuithibitisha Kama Elimu au Maarifa Kutumia Fact analysis??
Maswala ya Kiimani sio kweli ni Nadharia..
Elimu ya Kumjua Muumba Ni Nzuri sana ila Muumba Yupi??
Kwani Mkuu Imani Unaweza Kuithibitisha Kama Elimu au Maarifa Kutumia Fact analysis??
Maswala ya Kiimani sio kweli ni Nadharia..
Elimu ya Kumjua Muumba Ni Nzuri sana ila Muumba Yupi??
Unajua Style ya Argument Unayofanya?Bila shaka kabisa. Ndio Qur'an inahimiza sana kwanza kusoma kabla ua kutenda. Unaposema "Fact analysis" una maanisha nini na kwa mujibu wa nani ?
Nani alikwambia ya kuwa Nadharia kwa ujumla wake sio kweli ? Tatizo kubwa ambalo nakutana nalo katika hii mijadala ni kuwa watu mnatumia maneno ambayo hamjui maana zake na ukomo wake. Hii inafanya hoja zenu au madai yenu yasiwe na nguvu bali yanakuwa yamemili katika uongo. Nakupa kazi kwanza uanze kudurusu upya juu ya maneno haya IMANI na NADHARIA.
Mungu aliye umba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.Bila shaka kabisa. Ndio Qur'an inahimiza sana kwanza kusoma kabla ua kutenda. Unaposema "Fact analysis" una maanisha nini na kwa mujibu wa nani ?
Nani alikwambia ya kuwa Nadharia kwa ujumla wake sio kweli ? Tatizo kubwa ambalo nakutana nalo katika hii mijadala ni kuwa watu mnatumia maneno ambayo hamjui maana zake na ukomo wake. Hii inafanya hoja zenu au madai yenu yasiwe na nguvu bali yanakuwa yamemili katika uongo. Nakupa kazi kwanza uanze kudurusu upya juu ya maneno haya IMANI na NADHARIA.
Mungu aliye umba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Mtu anayekuambia Hana Imani kakudanganya hakuna Mtu asiyekuwa na Imani..Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.
Kuna hao wenzako wanasema hawataki kusikia imani, wanataka uwathibitishie kwa kuona, ndo waamini kama kweli mungu yupo, sasa unaanza kufikilia kwani kila kinachoonekana ndiyo tunaweza kukusadikisha moja kwa moja ni ukweli! kwahiyo hoja hii ni dhahifu na haina mantiki yeyote.Mtu anayekuambia Hana Imani kakudanganya hakuna Mtu asiyekuwa na Imani..
Kama Ana Hope lazma awe na Imani..
You can never have Hope without Faith..
Yaani hawezi kuwa na Tumaini Kuhusu Chochote bila kuwa na Imani..
Kwa mfano Huwezi kuwa na Tumaini kwamba Ungepata Mshahara Mwisho wa Mwezi bila kuwa na Imani na Boss anayekulipa Mshahara (Unaamini kuwa kwa kazi unayofanya Lazima atakulipa)Japo anaweza akakulipa au Asikulipe Ila Ulikuwa na Imani kwamba atakulipa na ndo maana Ukafanya kazi kwa bidii
Nani kakwambia wewe? Mtu wa imani anauhakika asilimia Mia na ikipungua hata moja sio imani hiyo Ni upagani.Umeanza Kwa kusema wasioamini , afu unafosi waamini au hujui mana ya kuamini?😂🙌 Imani Ina pande mbili , kuamini na kutokuamini , ukishasema Imani means vitu ambavyo havijadhibitishwa havina uhakika
Hapana Mimi.Sina Mwenzangu Mkuu!Kuna hao wenzako wanasema hawataki kusikia imani, wanataka uwathibitishie kwa kuona, ndo waamini kama kweli mungu yupo, sasa unaanza kufikilia kwani kila kinachoonekana ndiyo tunaweza kukusadikisha moja kwa moja ni ukweli! kwahiyo hoja hii ni dhahifu na haina mantiki yeyote.
Agnostic mtu anayeamini kwamba hakuna kitu kinachojulikana au kinachoweza kujulikana juu ya kuwepo au asili ya Mungu au kitu chochote zaidi ya matukio ya kimwili, mtu ambaye hadai imani wala kutoamini MunguHapana Mimi.Sina Mwenzangu Mkuu!
Mimi Niko Upande wa peke yangu kabisa
Mimi Upande Ignostics Upande Agnostic..
unataka ukampikie Chai au?Huyo Mungu kama yupo, yuko wapi?
kwasababu hakuna mtu anaeweza kuumba mtu wala mtu anae weza kuumba Ardhi na mbingu kama yupo mtu anaeweza kuumba mtu basi aumbe mimi nitakuwa wakwanza kumsujudia na kumtangazaUna upeo mfupi sana aisee. Watu wanasema mtu ametengeneza simu sababu ni fact. Wewe unajuaje mungu ameumba kila kitu?
ukituletea upepo hapa tukauona tunakupa picha yake chap ukaweke sebleni kwako...Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwepo
Unajua Style ya Argument Unayofanya?
Unafanya Straw man fallacy sio?
Maybe utawapata wao sio mimi!
Fact analysis? Unataka Kujua maana yake?
Basi ngoja Nikufundishe..
Nimesema Kuwa Imani Unaweza Kuithibitisha??
Sasa ngoja nikufundishe..tofauti ya Belief and Fact..
When a belief is verified to be true,it is called a fact...na Tunapozungumzia Knowledge...Knowledge ni collection of facts.
Sasa Sijui kama Unanielewa..
Sasa Facts Analysis Tunaangalia Hizo belief kwa Kuzianalysis Kupitia Statements Zilizokuwa Verified Tayari Kuwa True kwa 100%
belief is a statement about something in the case without being 100% sure whether it is true or false,but with a high probability of it being true..
So belief Inaweza Kuwa True au false..
When a belief is verified to be true,it is called a fact...na Tunapozungumzia Knowledge...Knowledge ni collection of facts.
Sasa Sijui kama Unanielewa..
Sasa Facts Analysis Tunaangalia Hizo belief kwa Kuzianalysis Kupitia Statements Zilizokuwa Verified Tayari Kuwa True kwa 100%
Sasa Turudi kwenye Nadharia..
What i ment was dhahania na Sio Nadharia..
Nilikosea Ni Dhahania
Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.
Imani inayojadiliwa hapo ni imani(belief) kuhusu mungu, sio imani(faith) kuhusu mambo ya kila siku ya kawaida kama hayo ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi.Mtu anayekuambia Hana Imani kakudanganya hakuna Mtu asiyekuwa na Imani..
Kama Ana Hope lazma awe na Imani..
You can never have Hope without Faith..
Yaani hawezi kuwa na Tumaini Kuhusu Chochote bila kuwa na Imani..
Kwa mfano Huwezi kuwa na Tumaini kwamba Ungepata Mshahara Mwisho wa Mwezi bila kuwa na Imani na Boss anayekulipa Mshahara (Unaamini kuwa kwa kazi unayofanya Lazima atakulipa)Japo anaweza akakulipa au Asikulipe Ila Ulikuwa na Imani kwamba atakulipa na ndo maana Ukafanya kazi kwa bidii
Mtoto mdogo wa miaka mitano anaamini nini? Wewe ungezaliwa katika familia isiyo na dini au eneo halina dini yoyote unafikiri ungeamini chochote??Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.