Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Uongo wake uko wapi ?

Nani alikwambia masuala ya kiimani sio kweli ?

Unajua ya kuwa katika elimu kubwa na bora kushinda zote ni elimu ya kumjua Muumba ?

Naomba ujibu maswali kwa usahihi, unaposema ni masuala ya kiimani unaonyesha huijui Imani ni nini ?
Kwani Mkuu Imani Unaweza Kuithibitisha Kama Elimu au Maarifa Kutumia Fact analysis??
Maswala ya Kiimani sio kweli ni Nadharia..
Elimu ya Kumjua Muumba Ni Nzuri sana ila Muumba Yupi??
 
Hoja dhaifu sana hiyo ya kuthibitisha uwepo wa mungu.......Mbona binadamu wanafanya maovu halafu wanamsingizia shetani hasiyekuwepo?

Umejuaji kama Shetani hayupo ?

Au unakijuaje kitu ambacho hakipo ?
 
Kwani Mkuu Imani Unaweza Kuithibitisha Kama Elimu au Maarifa Kutumia Fact analysis??
Maswala ya Kiimani sio kweli ni Nadharia..
Elimu ya Kumjua Muumba Ni Nzuri sana ila Muumba Yupi??

Bila shaka kabisa. Ndio Qur'an inahimiza sana kwanza kusoma kabla ua kutenda. Unaposema "Fact analysis" una maanisha nini na kwa mujibu wa nani ?

Nani alikwambia ya kuwa Nadharia kwa ujumla wake sio kweli ? Tatizo kubwa ambalo nakutana nalo katika hii mijadala ni kuwa watu mnatumia maneno ambayo hamjui maana zake na ukomo wake. Hii inafanya hoja zenu au madai yenu yasiwe na nguvu bali yanakuwa yamemili katika uongo. Nakupa kazi kwanza uanze kudurusu upya juu ya maneno haya IMANI na NADHARIA.

Mungu aliye umba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
 
Unajua Style ya Argument Unayofanya?
Unafanya Straw man fallacy sio?

Maybe utawapata wao sio mimi!
Fact analysis? Unataka Kujua maana yake?
Basi ngoja Nikufundishe..

Nimesema Kuwa Imani Unaweza Kuithibitisha??

Sasa ngoja nikufundishe..tofauti ya Belief and Fact..

belief is a statement about something in the case without being 100% sure whether it is true or false,but with a high probability of it being true..

So belief Inaweza Kuwa True au false..

When a belief is verified to be true,it is called a fact...na Tunapozungumzia Knowledge...Knowledge ni collection of facts.

Sasa Sijui kama Unanielewa..
Sasa Facts Analysis Tunaangalia Hizo belief kwa Kuzianalysis Kupitia Statements Zilizokuwa Verified Tayari Kuwa True kwa 100%

Mfano Ukisema Swala Ni mbuzi bhasi tutamchunguza Mbuzi tabia Zake na tutaangalia na Swala kama zitafanana Bhasi tutasema Swala ni Mbuzi na mbuzi ni swala..

Sijui umenielewa?

Sasa Turudi kwenye Nadharia..
What i ment was dhahania na Sio Nadharia..

Nilikosea Ni Dhahania
 
Bila shaka kabisa. Ndio Qur'an inahimiza sana kwanza kusoma kabla ua kutenda. Unaposema "Fact analysis" una maanisha nini na kwa mujibu wa nani ?

Nani alikwambia ya kuwa Nadharia kwa ujumla wake sio kweli ? Tatizo kubwa ambalo nakutana nalo katika hii mijadala ni kuwa watu mnatumia maneno ambayo hamjui maana zake na ukomo wake. Hii inafanya hoja zenu au madai yenu yasiwe na nguvu bali yanakuwa yamemili katika uongo. Nakupa kazi kwanza uanze kudurusu upya juu ya maneno haya IMANI na NADHARIA.

Mungu aliye umba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.
 
Mtu anayekuambia Hana Imani kakudanganya hakuna Mtu asiyekuwa na Imani..
Kama Ana Hope lazma awe na Imani..
You can never have Hope without Faith..
Yaani hawezi kuwa na Tumaini Kuhusu Chochote bila kuwa na Imani..

Kwa mfano Huwezi kuwa na Tumaini kwamba Ungepata Mshahara Mwisho wa Mwezi bila kuwa na Imani na Boss anayekulipa Mshahara (Unaamini kuwa kwa kazi unayofanya Lazima atakulipa)Japo anaweza akakulipa au Asikulipe Ila Ulikuwa na Imani kwamba atakulipa na ndo maana Ukafanya kazi kwa bidii
 
Kuna hao wenzako wanasema hawataki kusikia imani, wanataka uwathibitishie kwa kuona, ndo waamini kama kweli mungu yupo, sasa unaanza kufikilia kwani kila kinachoonekana ndiyo tunaweza kukusadikisha moja kwa moja ni ukweli! kwahiyo hoja hii ni dhahifu na haina mantiki yeyote.
 
Umeanza Kwa kusema wasioamini , afu unafosi waamini au hujui mana ya kuamini?😂🙌 Imani Ina pande mbili , kuamini na kutokuamini , ukishasema Imani means vitu ambavyo havijadhibitishwa havina uhakika
Nani kakwambia wewe? Mtu wa imani anauhakika asilimia Mia na ikipungua hata moja sio imani hiyo Ni upagani.
Imani Ni kuwa na hakika kabisa. Sasa utawezaje kuwa na imani Kama huna uhakika?
 
Kuna hao wenzako wanasema hawataki kusikia imani, wanataka uwathibitishie kwa kuona, ndo waamini kama kweli mungu yupo, sasa unaanza kufikilia kwani kila kinachoonekana ndiyo tunaweza kukusadikisha moja kwa moja ni ukweli! kwahiyo hoja hii ni dhahifu na haina mantiki yeyote.
Hapana Mimi.Sina Mwenzangu Mkuu!
Mimi Niko Upande wa peke yangu kabisa
Mimi Upande Ignostics Upande Agnostic..
 
Hapana Mimi.Sina Mwenzangu Mkuu!
Mimi Niko Upande wa peke yangu kabisa
Mimi Upande Ignostics Upande Agnostic..
Agnostic mtu anayeamini kwamba hakuna kitu kinachojulikana au kinachoweza kujulikana juu ya kuwepo au asili ya Mungu au kitu chochote zaidi ya matukio ya kimwili, mtu ambaye hadai imani wala kutoamini Mungu

Sababu zipi zimekupelekea kuwa katika kundi hili, maana ni moja la kundi la upotovu pia kwasababu aliamini pia uwepo wa mungu kwa imani yangu ya kiislamu.
 
Una upeo mfupi sana aisee. Watu wanasema mtu ametengeneza simu sababu ni fact. Wewe unajuaje mungu ameumba kila kitu?
kwasababu hakuna mtu anaeweza kuumba mtu wala mtu anae weza kuumba Ardhi na mbingu kama yupo mtu anaeweza kuumba mtu basi aumbe mimi nitakuwa wakwanza kumsujudia na kumtangaza
 
Nafunga mjadala Kwa kusema mtoa mada mlete uyo kiumbe unaemuongelea ili wasiomwamini yupo wamwone Kwa macho Yao waamini la sivyo hawatakuelewa , Angekuwepo uyo kiumbe hata huu mjadala usingekuwepo
ukituletea upepo hapa tukauona tunakupa picha yake chap ukaweke sebleni kwako...
ama hata upepo huamini kama upo?
 
Nakwambia hiviii.

Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
 
Unajua Style ya Argument Unayofanya?
Unafanya Straw man fallacy sio?

Katika watu ambao huwa naona wepesi ni wale ambao wanaegemea hasa logic kama fani na kufata misingi yake bali kutumia msamiati wake, kama ambavyo wewe unafanya na kuleta msamiati wa logic ambao una ukomo na mahitisho yake si sahihi.

Unatakiwa unakishi hoja sio kuikimbia hoja kwa kulazimisha msamiati wa logic kama fani.
Maybe utawapata wao sio mimi!
Fact analysis? Unataka Kujua maana yake?
Basi ngoja Nikufundishe..

Hapa hakuna kupatana na kama lengo lako kumpata mtu kwetu sisi lazima utafua dafu. hapa tunataka elimu na hoja madhubuti kwa ufupi hakikisha unacho kiongelea unakijua na unaweza kukitetea kwa hoja na ubainifu.

Bila shaka nataka kujua ila hakikisha unazingatia maswali niliyo kuuliza.
Nimesema Kuwa Imani Unaweza Kuithibitisha??

Maelezo yako yanaonyesha ya kuwa imani haithibitishiki bali ni kuamini tu. Soma ulichokiandika vizuri.
Sasa ngoja nikufundishe..tofauti ya Belief and Fact..

Naam bila shaka, ila angalia unachokiandika unakijua vizuri.
When a belief is verified to be true,it is called a fact...na Tunapozungumzia Knowledge...Knowledge ni collection of facts.

Sasa Sijui kama Unanielewa..
Sasa Facts Analysis Tunaangalia Hizo belief kwa Kuzianalysis Kupitia Statements Zilizokuwa Verified Tayari Kuwa True kwa 100%

Huwa napenda sana mnapo amua kuyafafanua mambo kwani humo ndimo ujinga wenu unapo dhahiri.
belief is a statement about something in the case without being 100% sure whether it is true or false,but with a high probability of it being true..

So belief Inaweza Kuwa True au false..

When a belief is verified to be true,it is called a fact...na Tunapozungumzia Knowledge...Knowledge ni collection of facts.

Sasa Sijui kama Unanielewa..
Sasa Facts Analysis Tunaangalia Hizo belief kwa Kuzianalysis Kupitia Statements Zilizokuwa Verified Tayari Kuwa True kwa 100%

Maana uliyo itoa haiko sahihi sababu imetoka katika vigezo vya maana ya maana. Maana ya maana ni kuruhusu yaingie yote yahusyo tamko au kitendo na kuzuia yasiingie yote yasiyo husu tamko au kitendo husika. Maana ya Imani si kauli tu, imani ina vijenzi kadhaa imani ina kusadiki yaani kufangamanisha jambo husika na moyo, na kulitamka jambo hilo na hili hutanguliwa na elimu.

Sahihi, kwenye imani inaweza kuwa sahihi na sio sahihi uko sahihi, na haya ndio ambayo nawaambia wenzako kila uchwao.
Sasa Turudi kwenye Nadharia..
What i ment was dhahania na Sio Nadharia..

Nilikosea Ni Dhahania

Vizuri kwa kukiri hilo. Tuongeze umakini.
 
Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.

Ndio maana huwa tunasema hawa ni wagonjwa wa akili.

Wengine ukiwaambia hata hiyo Atheism ni imani wanabisha, shida hawasomi na kutafakari mambo.

Wajinga sana hawa watu.
 
Mtu anayekuambia Hana Imani kakudanganya hakuna Mtu asiyekuwa na Imani..
Kama Ana Hope lazma awe na Imani..
You can never have Hope without Faith..
Yaani hawezi kuwa na Tumaini Kuhusu Chochote bila kuwa na Imani..

Kwa mfano Huwezi kuwa na Tumaini kwamba Ungepata Mshahara Mwisho wa Mwezi bila kuwa na Imani na Boss anayekulipa Mshahara (Unaamini kuwa kwa kazi unayofanya Lazima atakulipa)Japo anaweza akakulipa au Asikulipe Ila Ulikuwa na Imani kwamba atakulipa na ndo maana Ukafanya kazi kwa bidii
Imani inayojadiliwa hapo ni imani(belief) kuhusu mungu, sio imani(faith) kuhusu mambo ya kila siku ya kawaida kama hayo ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi.
 
Kaka hawa watu wanaelewa sana, tatizo misimamo yao yakipagani na upotovu ndiyo umewajaa, imagine ni binadamu anakwamba yeye hakuna kitu anaamini yaani hana kitu kinaitwa imani kichwani mwake ama moyoni, yuko timamu kweli mtu kama huyu.
Mtoto mdogo wa miaka mitano anaamini nini? Wewe ungezaliwa katika familia isiyo na dini au eneo halina dini yoyote unafikiri ungeamini chochote??
 
Back
Top Bottom