Sijasema Rais Samia ni MALAIKA. Vile vile, sidhani hata Kama tungepata huyo MALAIKA kama kweli tungemhitaji.Mkaruka una inaonekana una masilahi binafsi nn?Yaan unataka kusema mama yupo positive Sana.Hauoni mabaya yake Kabisa.
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Mimi sina chama na siwezi kuwa Mwanachama wa chama chochote Cha siasa Wala mfuasi wa mtu.Wewe ni mfuasi ACT?
Una tabia kama za Abdul Nondo
Aliyefanikiwa kuwakaririsha kuwa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi vitapeleka nchi ya Maziwa na asali AMEFANIKIWA sana.Hiyo paragraph yako ya mwisho, nchi inahitaji katiba mpya,yaani hii ya sasa anaweza kutuhamisha wandendeule wote na kutupeleka Tanga, na hatafanywa chochote!,President must earn a respect sio kulazimisha, yes mafuta yamepanda bei ila kwetu hapa ni udhaifu mkubwa wa serikali, bei ya were inategemea mambo mengine sio soko la dunia pekee
Naona hii thread uliyoanzisha inakuzidi upeo, hata hujui unaposimamia.Sijasema Rais Samia ni MALAIKA. Vile vile, sidhani hata Kama tungepata huyo MALAIKA kama kweli tungemhitaji...
Mkuu siko kumtetea SSH,na wala siko kuwabeza wenye mtizamo tofauti na yeye.Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Mkuu u got it total wrong, mimi sio zuzu na ninaelewa umuhimu wa kuwa na katiba itakayoleta haki miongoni mwetu, na mfano uliotuoa kuhusu kenya sio lazima ufanane na wa kwetu kuna nchi nyingi tu zenye uhuru wa kihaki ,haki ambayo ipo ndani ya katiba yao, Mauritius, ushelisheli na sasa Ghana ni mfano mzuri wa jinsi gani katiba inavyofanya kazi,nchi yetu tunahitaji taasisi imara na zenye kujitegemea kimaamuzi sio strong no 1Aliyefanikiwa kuwakaririsha kuwa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi vitapeleka nchi ya Maziwa na asali AMEFANIKIWA sana...πππ
Vipi kuhusu gharama ya maisha ?Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Ni Mungu tu ambaye hawezi fanywa chochote wewe.Sijasema Rais Samia ni MALAIKA. Vile vile, sidhani hata Kama tungepata huyo MALAIKA kama kweli tungemhitaji.
Sometimes, Rais au Kiongozi anaweza kuwa mwema lakini watu wakamharibu.
Kama Kiongozi anaweza kuwa mwema, na bado watu wakawa hawana shukrani tafsiri yake ni kwamba anaweza kuamua kufanya chochote, watu wakaumia na Hakuna kitu watafanya.
Plain truth.
Sijasema Rais Samia ni MALAIKA. Vile vile, sidhani hata Kama tungepata huyo MALAIKA kama kweli tungemhitaji.
Sometimes, Rais au Kiongozi anaweza kuwa mwema lakini watu wakamharibu.
Kama Kiongozi anaweza kuwa mwema, na bado watu wakawa hawana shukrani tafsiri yake ni kwamba anaweza kuamua kufanya chochote, watu wakaumia na Hakuna kitu watafanya.
Plain truth.
Hivi tz kuna rais au kuna mama?Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Lilamba asali tu hili..!Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.