Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

Hiyo paragraph yako ya mwisho, nchi inahitaji katiba mpya,yaani hii ya sasa anaweza kutuhamisha wandendeule wote na kutupeleka Tanga, na hatafanywa chochote!,President must earn a respect sio kulazimisha, yes mafuta yamepanda bei ila kwetu hapa ni udhaifu mkubwa wa serikali, bei ya were inategemea mambo mengine sio soko la dunia pekee
Wewe ndio umeongea la maana kuliko huyu mwana JF wa muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom