Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

Fufua Tumaini Jipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
223
Reaction score
469
Habari wakuu .

Yupo Kijana Ana hizi sifa

Miaka 18
Elimu form four Ila hakufaulu.


Uzoefu wa kazi

Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani.

Kuuza dukani

Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini .

Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana.


Waweza piga namba hii 0625085224

Kwa maelezo ya ziada.

Ikiwa ulikuwa hnahitaji Kijana Mwaminifu na mchapa kazi sasa amepatikana.
 
Watoto wa siku hizi walivyodumaa huyo atakuwa na urefu wa sentimita ngapi?Apelekwe VETA akakue kwanza.Kutumikisha watoto huko/utumwa.
 
Yupo mkoa gani? Huyu anatakiwa afanye kazi sambamba na kupata ujuzi wa level zake kwa ajili ya maisha yake ya baadaye
 
Back
Top Bottom