Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Yupo above 18+ mkuuWatoto wa siku hizi walivyodumaa huyo atakuwa na urefu wa sentimita ngapi?Apelekwe VETA akakue kwanza.Kutumikisha watoto huko/utumwa.
TuwasilianeKulima anaweza ?
Kweli Mkuu umewaza vizuri Sana .Yupo mkoa gani? Huyu anatakiwa afanye kazi sambamba na kupata ujuzi wa level zake kwa ajili ya maisha yake ya baadaye