Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Mkuu bado hizo line unazo nilikuwa nahitaji kama zipo tuwasiliane nikutumie pesa
Mtafute Tomaa Miren alieanzisha uzi kipindi icho ndio nilinunuaga kwake namimi...

Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
 
Mbona miandiko ina fanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Line zimebak 3 tu boss

1xbet ni ya tz au Kenya?
Cha kuzingatia ni kuwa ukiwa na hizi line unaweza kufanya transactation zozote za TZ na Kenya.
Cha kuzingatia ni kama location ni issue utatumia VPN au fake GPS ulocate Kenya
 
na mimi nahitaji niitumie kwenye 1xbet vip mkuu una uelewa wowote kuhusiana na hili mkuu tushare nasi kdogo?
Chukua hiyo line jaza pesa nenda 1xbet chagua deposit au withdraw with mpesa safaricom...

Muhimu ujue menu ya mpesa safaricom mengine unajiongeza simply tu.

Hakikisha xbet inasoma account ya KKenya.
Ingawa kuna njia nyingi bila kutimia vpn
 
Angalizo muuzaji, angalia usiingie matatani na TCRA wakikushika ndugu kesi utazofunguliwa sijui idadi yake, ungefanya kimya kimya bila kujianika, saiv kuna operation ya kuondoa laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa kufuata taratibu, sasa kuingiza laini za kenya ndio(nakubali kwa lengo jema) ila kuna watu wanaweza tumia kichaka hicho kufanya uhalifu, kesi za mauaji mfano zinaweza tumiwa na watu kwasababu ya usajili kufanyika nchi jirani na hivyo kupoteza ushaidi, hayo ni ya ziada ila tumia akili kidogo unapofanya vitu ambavyo ni strict kwa usalama wako pia.
Umeanika namba zako wakianza ku trace mawasiliano yako ndani ya masaa machache identity yako wanayo, sikutishi ila kuwa makini tu inawezakana hujui consequences za unachofanya.
Goodluck
 
na mimi nahitaji niitumie kwenye 1xbet vip mkuu una uelewa wowote kuhusiana na hili mkuu tushare nasi kdogo?
Mkuu ukiwa na hizi line unaweza kuweka hela na kutoa kupitia Skrill..So unafungua Skrill unaweka hela kupitia hii line then unaweka huko 1xbet.

Ila moja kwa moja kwenda 1xbet sidhani labda ufake location.
 
So kama nipo Tanzania, vipi nita withdraw from Safaricom Mpesa ikiwa hamna mawakala wa safaricom? au unatoa hela kwa mpesa yoyote tu japo kama voda?
 
So kama nipo Tanzania, vipi nita withdraw from Safaricom Mpesa ikiwa hamna mawakala wa safaricom? au unatoa hela kwa mpesa yoyote tu japo kama voda?
Unahamisha pesa kutoka mpesa safaricom kwenda mpesa vodacom.
 
Naunga mkono Hoja,

Very Dangerouos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna njia mbili,sema nitakuelezea 1 unatoa SAFARICOM kupeleka Vodacom Tanzania kisha unatoa kwa mawakala wa m-pesa tz,njia nyingine ni chipper cash* na pia kama upo DSM kuna mawakala kkoo,na mnazi mmoja.
So kama nipo Tanzania, vipi nita withdraw from Safaricom Mpesa ikiwa hamna mawakala wa safaricom? au unatoa hela kwa mpesa yoyote tu japo kama voda?
 
Mkuu ukiwa na hizi line unaweza kuweka hela na kutoa kupitia Skrill..So unafungua Skrill unaweka hela kupitia hii line then unaweka huko 1xbet.

Ila moja kwa moja kwenda 1xbet sidhani labda ufake location.
thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…