21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
sawa kiongoziLine zimebak 3 tu boss
1xbet ni ya tz au Kenya?
Cha kuzingatia ni kuwa ukiwa na hizi line unaweza kufanya transactation zozote za TZ na Kenya.
Cha kuzingatia ni kama location ni issue utatumia VPN au fake GPS ulocate Kenya
hahaa sio mambo ya double ID haya??Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, 😋Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.
Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Angalizo muuzaji, angalia usiingie matatani na TCRA wakikushika ndugu kesi utazofunguliwa sijui idadi yake, ungefanya kimya kimya bila kujianika, saiv kuna operation ya kuondoa laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa kufuata taratibu, sasa kuingiza laini za kenya ndio(nakubali kwa lengo jema) ila kuna watu wanaweza tumia kichaka hicho kufanya uhalifu, kesi za mauaji mfano zinaweza tumiwa na watu kwasababu ya usajili kufanyika nchi jirani na hivyo kupoteza ushaidi, hayo ni ya ziada ila tumia akili kidogo unapofanya vitu ambavyo ni strict kwa usalama wako pia.
Umeanika namba zako wakianza ku trace mawasiliano yako ndani ya masaa machache identity yako wanayo, sikutishi ila kuwa makini tu inawezakana hujui consequences za unachofanya.
Goodluck
nipo sana aisee
nipo sana aisee
We mbona unatumia halotelHabari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group smatskills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Hili ndio kosa mnalofanya yaan comment ya kwanza new member anasifia biashara yako daahAsante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, 😋Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.
Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Mbona kama rugha za kitapeli tapeli maana wanaongeaga rugha mojaPamoja sana,hadi Lindi nimetuma leo
Habari za hapa ndugu, binafsi nimeelewa,naomba utaratibu wakupata laini hii niko kigoma nchini Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nimeshachukua hiyo line... matumizi hake siyo hayo ambayo ww unayafikiria....
Mm nimeagiza mtu jana kanichukulia line, sasa utapeli uko wapi???
Naomba mawasiliano yako mkuuZimeisha kwa sasa ila tar 3 zitakuwa zimekuja nyingine