Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Sasa kama kalipa nauli ya kuishia Morogoro, atafikishwaje Dodoma ?Huyo atakuwa hamfikishi huyo dem wake
Akikijambia utafurahi ?Kajambe.
Sasa kama kalipa nauli ya kuishia Morogoro, atafikishwaje Dodoma ?
Magufuli anavyoipaisha nchi kwa maendeleo ya kila nyanja,Inawafanya wapinzani wake wasiwe na hoja za maana na kubakia kulalama demokrasia kila kukicha. Ninauhakia 2020 Itachukuwa dak 45 kumaliza kazi yote.Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...
Mim nabisha mpak kesho kwan waliotoa tafsiri ni binadam kam sisiKalamu na Karamu ni maneno tofauti na yenye maana tofautiView attachment 973670
Watoto wanaovaa hijabu wanakuwaga warembo sana hasa hasa wale wa mikoa ya Pwani. Kama unabisha vua hijab tuoneHuyo ni Lisa Valentine, mwanamke jasiri aliyehiyari kufungwa jela kuliko kuvua hijab yake.
Soma zaidi: Georgia judge jails Muslim woman for wearing headscarf to court
Ijumaa imekukuta njiani, safari njemaNipo iringa apa naelekea mbeya vijijin ila nimetoka daslam pale stopover
Wabishi hamkosekanihakuna kitu kama hiyo katika hii dunia,wanawake wanapenda pesa kuliko kupetiwa petiwaa
Duh wewe mbishi sana unabisha uwepo wangu duniani aisee usibishe baba yako wewe ndiye baba yangu mimiKwani wewe ni mtoto wa baba yako? Na una uhakika gani kama wewe n mtoto wa baba yako...nimeshabisha kuhusu uwepo wako hapa dunian
Upo sahihi bi kikongweInawezekana maana huyo wako si FaizaFoxy.
Kupenda raha sana... Mara ya nwisho wewe kupenda ilikua miaka mingapi iliyopitaEndelea kunipenda. Kupenda raha.
Huyo mchumba wako atakuwa anakupa amri sana. Maana kwa umri wake anakuona kama mtoto wake. kama unabisha utaonaMchumba wangu huyo muache tu usimpe majukumu mazito
nabisha maana sina ndugu nimezaliwa kwa uwezo wa roho baba yangu siyo mwanadamu kwa hiyo me siyo ndugu yakoDuh wewe mbishi sana unabisha uwepo wangu duniani aisee usibishe baba yako wewe ndiye baba yangu mimi
Pope wa madrasa au pope wa wapiHata Pope Joan, Loannes Anglicus alikuwa mwanamke na wengi wakabisha.
Sibishi mkuu huwa napokea amri za kutoshaHuyo mchumba wako atakuwa anakupa amri sana. Maana kwa umri wake anakuona kama mtoto wake. kama unabisha utaona
Hahaha kwa hyo umezaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu ukiendelea kidogo unaweza kujiona yesu wewenabisha maana sina ndugu nimezaliwa kwa uwezo wa roho baba yangu siyo mwanadamu kwa hiyo me siyo ndugu yako
Siku hizi kuna cost sharing. Waliozoe kufikishwa watapata sanaNi wajibu wa huyo mwanaume wake kuhakikisha anafika mwisho wa safari huko mliman kwa gharama zozote zile...hujui mapenz gharama?
Nakubishia napajua hadi kwenu maeneo ya Tandale kwa tumbo na wewe ni mtoto wa mwisho wa mzee MsingisiHahaha kwa hyo umezaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu ukiendelea kidogo unaweza kujiona yesu wewe