Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Mtu kama faiza ameshakula pension yake ameimega 75% kwa mkupuo pah, bibi huyu amekula chumvi vilivyo bado anadai
 
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Magufuli anavyoipaisha nchi kwa maendeleo ya kila nyanja,Inawafanya wapinzani wake wasiwe na hoja za maana na kubakia kulalama demokrasia kila kukicha. Ninauhakia 2020 Itachukuwa dak 45 kumaliza kazi yote.
 
Back
Top Bottom