Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kila mtu nadhan anajua kua jua linazunguka dunia lakini kuna ndezi wataleta ubishi hapa.....
 
Unaweza ukampenda sana mwanamke ukampa kila kitu lakini kumbe yeye moyo wake upo kwa lijamaa halina hata cent, lijamaa linapewa kila kitu linafaidi tu jasho lako
Huwezi kumpa kila kitu ndo maana anapeleka limoyo kwa jamaa
 
Mimi nabishana kabisa na wewe.
Lakini hakuna kitu kinaitwa Kiswahili hapa duniani.
Kama kipo thibitisha.
Duniani ndiyo wapi? Hamna Dunia na haijiawahi kuthibitika kwamba kuna Dunia na wala haitakuwepo kwa sababu haipo.

Kiswahili kipo kwa sababu ndicho ninachoandika, na kuelewa ninachoandika ni kuelewa nilichoandika na kuelewa nilichoandika ndiyo kuelewa kitu kinachoitwa Kiswahili. Usingeelewa Kiswahili usingenikoti.
 
NITAMBADILISHA DINI FAIZA FOXY ILI NIMUOE AWE MKE WANGU HATA KAMA AMENIZIDI UMRI
 
Ngoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Sichukii mtu. Sema wewe ni muongo sana. I hope umejirekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…