Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzaje kukubishia wewe uloanza kuliona jua dadangu?! Usimuonee wivu shemeji yako ni bahati yakeYaani we mdogo wangu sio mbishi kabisa, shemeji yangu ana raha hadi namuonea wivu
Kiongozi bora ni yupi kati yaoWote ni majaaliwa tu, hawana uzuri. Mzuri alikuwa Jakaya kwa maana ya uzuri.
Nabisha hana matatizo. kama unabisha weka acc no hapa nikutumie pesa ya kumpeleka kwa mtaalamu
Naanzaje kukubishia wewe uloanza kuliona jua dadangu?! Usimuonee wivu shemeji yako ni bahati yake
Huwezi kumpa kila kitu ndo maana anapeleka limoyo kwa jamaaUnaweza ukampenda sana mwanamke ukampa kila kitu lakini kumbe yeye moyo wake upo kwa lijamaa halina hata cent, lijamaa linapewa kila kitu linafaidi tu jasho lako
Duniani ndiyo wapi? Hamna Dunia na haijiawahi kuthibitika kwamba kuna Dunia na wala haitakuwepo kwa sababu haipo.Mimi nabishana kabisa na wewe.
Lakini hakuna kitu kinaitwa Kiswahili hapa duniani.
Kama kipo thibitisha.
Nabisha tena. numbisa na dai ni paka na panya.Nabisha. Mdogo wangu Numbisa timu Dai damu damu
Love you more dadakeOoh I love you
Sichukii mtu. Sema wewe ni muongo sana. I hope umejirekebisha.Ngoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Nabisha tena. numbisa na dai ni paka na panya.
....ThibitishaChristmas ni sherehe ya dunia nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeomba tubishane kwa staha na stara.