Siasa utanishinda wewe maana sijawahi kukushinda, njoo tubishane swala la uchimu nchiniLeta siasa tubishane.
Usiandikie mate na wino upo.
Huyo faiza ni gwiji tasinia ya siasa, anzisha hoja tupambane naeKwan kuna mahal alikuwa anashndana
Numbisa wewe ugomvi wako uko kwa mnyama chibu tu diamond platnumz
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, tena ililiwa miaka 40 nyuma. Alhamdulillah.
Ulikuwa na miaka mingapi miaka 40 nyuma?
Hapo sasa!
nabisha ushajarbu kumtolea moyo wako ?Unaweza ukampenda sana mwanamke ukampa kila kitu lakini kumbe yeye moyo wake upo kwa lijamaa halina hata cent, lijamaa linapewa kila kitu linafaidi tu jasho lako
Numbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Experienced enough to do it right.
Napinga vikali sijawahi juwa nyie wanawake mnataka nini, mkipewa hela bado mnatoka na kutokomea kabisa, mkipewa mkuyange vizuri bado hamlizikiHuwezi kumpa kila kitu ndo maana anapeleka limoyo kwa jamaa
....Who told you age is just a number?. Age defines human character.Age is just a number.
I love my age. Old enough to know better. Young enoug not to care. Experienced enough to do it right.
Nabisha vikali kama utamuwez faiza, niachie mimi faiza nimeshamtolea mahariNITAMBADILISHA DINI FAIZA FOXY ILI NIMUOE AWE MKE WANGU HATA KAMA AMENIZIDI UMRI
tunataka moyoNapinga vikali sijawahi juwa nyie wanawake mnataka nini, mkipewa hela bado mnatoka na kutokomea kabisa, mkipewa mkuyange vizuri bado hamliziki
Nakuunga mkonomapenzi matamu sanaaa
kuna viumbe vitabisha
wewe bisha unayoona sio matamuMapenzinyapo sina nyingi unaongelea yepi?
Ya kula? Kulala? Mama? Dada? Mke? Mume? Mtoto?
Weka sawa tubishe.