Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Unaweza ukampenda sana mwanamke ukampa kila kitu lakini kumbe yeye moyo wake upo kwa lijamaa halina hata cent, lijamaa linapewa kila kitu linafaidi tu jasho lako
nabisha ushajarbu kumtolea moyo wako ?
 
Huwezi kumpa kila kitu ndo maana anapeleka limoyo kwa jamaa
Napinga vikali sijawahi juwa nyie wanawake mnataka nini, mkipewa hela bado mnatoka na kutokomea kabisa, mkipewa mkuyange vizuri bado hamliziki
 
Nani anabisha Ijumaa ya leo ipo so sex yani week inaisha vizuri sana kuelekea X mass akili, mwili mikono havitaki kufanya kazi nzito leo, najiaanda kula bata baadae maisha mafupi ukipata nafasi jiburudishe
 
Back
Top Bottom