Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Huyo atakuwa hamfikishi huyo dem wakeNiko hapa nnaye bisha, kwa vigezo vifwatavyo...
Kuna jamaa hapa kitaa kila siku analia, anasema ana mapenzi ya dhati kwa demu wake, anamjali, anamsikiliza lakin bado demu hamuelewi...
Anampa mpaka pesa na kitandan anasema anamridhisha lakin bado demu haelewi lugha!!
Kwa hiyo nakataa na kuipinga hoja yako.
Ni nini maana yake?Hilo neno "Genta" si la kistaarabu.
Sijabisha ila sikubaliani na weweWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Ndo kubisha hukohukoSijabisha ila sikubaliani na wewe
Mbona kama wewe ndo umeanzaAnza wewe
Atakuja kubishaHuyo atakuwa hamfikishi huyo dem wake
Unakimbilia wapiStress tena, siunaniju vizuri sibishi
Kufanyaje tenaMbona kama wewe ndo umeanza
Umenizomea auHahaha
Me nabisha mwanamke hawezi kukanywa kama mtoto mdogo maana na yeye n mtu mzima kama wewe... Kama unataka umkanye mke wako kama mtoto basi oa mtoto mdogoHilo hata mimi nabisha.
Mwanamke anahitaji kukanywa kama mtoto mdogo.
Na una adabu kuliko mabinti wa kisukuma wooteee[emoji3][emoji3][emoji3] Godi bulesi yuu Anko [emoji120][emoji120]Numbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Nakurekebisha sio karamu ni kalamu .Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, tena ililiwa miaka 40 nyuma. Alhamdulillah.
Ulikuwa na miaka mingapi miaka 40 nyuma?
Hapo sasa!
Kwanza hilo neno linamaanisha ni mwanamke, mwenye moyo mkubwa lakini kwa akili yake tu.Ni nini maana yake?
Me nabisha maana hatuna ushahidi kama wewe ndiye member mpoleNumbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Kuelezea avatar yakoKufanyaje tena
Nakwambia sijabisha usinilazimishe mbona mbishi weweNdo kubisha hukohuko
Acha bishi jirani. Nani kasema unamjua mtaalamuNabisha kwamba nimesema namjua mtaalamu mimi, saa ngapi nimesema?
Mambo gan kwa mfano unayoyatak wew?= hamridhiki
Ukiona hivyo ujuwe mambo huyawezi.
Nabisha kwamba hakuna kitu kinaitwa mbora. Labda huko maporin ndio kuna huo msamiati.Mbora ni yule anaemuongoza mwenzake. Nadhani, sina uhakika.