Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Niko hapa nnaye bisha, kwa vigezo vifwatavyo...

Kuna jamaa hapa kitaa kila siku analia, anasema ana mapenzi ya dhati kwa demu wake, anamjali, anamsikiliza lakin bado demu hamuelewi...

Anampa mpaka pesa na kitandan anasema anamridhisha lakin bado demu haelewi lugha!!

Kwa hiyo nakataa na kuipinga hoja yako.
Huyo atakuwa hamfikishi huyo dem wake
 
Numbisa ni member mpole kuliko wote JF.

Hanaga ugomvi na mtu.
Na una adabu kuliko mabinti wa kisukuma wooteee[emoji3][emoji3][emoji3] Godi bulesi yuu Anko [emoji120][emoji120]
IMG_20181211_153504.jpeg
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, tena ililiwa miaka 40 nyuma. Alhamdulillah.

Ulikuwa na miaka mingapi miaka 40 nyuma?

Hapo sasa!
Nakurekebisha sio karamu ni kalamu .

Eh iyo kalamu umekulaje?
 
Back
Top Bottom