Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

Hongera na pole sana kiongozi hakika Mungu anakupenda sana that's why hakutaka ufe mkimbilie yeye utakuwa salama
ndugu yangu dunia inamengi,tangu siku hiyo sijawahi kuwaza kujiua,na Mungu alivyo mwema nilikaa muda kidogo tu wakaja wachina kijijini kuwekeza kwenye maswala ya dhahabu nikajiegesha kwa muda wa miezi kama mi4 hivi.Sasa siku moja nikabet sportpesa jackpot nikawin match 11 nikawa nimepata mil 4 ndo nikaamua kujiajiri.
 
Hayakai sawa ndio maana bora tu niondoke
kama unadhani huko unapoenda ni kwa mchina kuangalia mechi ya ruvu shooting na sabaya rangers jiue halafu utaenda kujionea......kwaheri na kujisaidia kwenye nguo kwema..
 
Umenena vyema mkuu.
 
Mimi isingekuwa mjani ningekuwa nimeshajimaliza mapema, maisha yakiwa magumu sana pulizeni mjani wazee
Lakini nayo iwe kwa kiasi, maana ukizidisha unaweza kutengeneza tatizo lingine mkuu.
 
Nimevumilia sana ndugu yangu
Da nafwatilia mtiririko wa unaowajibu, kaka usikate tamaa mwombe Mungu kwa sasa upate kwanza amani ya moyo
Pia mwombe Mungu afanyr wepesi ktk upitiayo pia mwombe akuchukue yeye bila wewebl kuidhuru nafsi yako ikiwa hakuna kheri ya wewe kuendelea kubaki
Pole kaka yangu
 
Dah Mungu hafananishwi na kitu chochote aisee, ndy maana huwa nawadharau sana watu wanaohoji uwepo wa Mungu wa kweli eti wanalinganisha na miungu ya hovyo kama ile ya freemason amini Mungu kweli alikuacha uendelee kuishi ili uwe ushuhuda Kwa wengine na ana maksudi na wewe unaweza kuja kuwa mtumishi mkubwa sana huko mbeleni
 
Nimevumilia miaka nane dadangu nadhani inatosha
 
Umejuaje hakuna maumivu?
Ni sayansi tu, dawa za usingizi zinakufanya ulale. Ukizidisha dose siyo tu unalala usingizi mzito, kwanza unapoteza fahamu kabisa kisha unakufa taratibu.

Sasa mtu aliyepoteza fahamu anasikiaje maumivu bila ya kuwa na fahamu? Yaani ni sawa na mtu anayechomwa ile sindano ya nusu kaputi kabla ya kufanyiwa operation.
Huwezi kusikia maumivu ukiwa huna fahamu.
 
Nimejitahidi ila sasa nimesalim amri sioni namna ya kueouka hiki kikombe
mdukuzi noo, wengi tunapitia mazito, ni basi tu tunajifariji hunu
 
Sometimes kifo moja ya solutions ya matatizo lakini haimaanishi ndio tukipata masaibu tuwaze kujiua tu.
Hakuna mtu anayejiua tu kwa sababu anataka kufa watu wanajiua kwa kua wanataka ku stop maumivu wanayoyapata.In short hatujiui bali tunashindwa tu na mapambano marefu na magumu ya kukaa hai ndio maana wanasema life is hard death is easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…