Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

Basi imetosha, acha kuandika ujinga.
 
Dah...hiyo inaumiza sana sana aisee...dah...ndo changamoto hizo
Huku mererani ni kawaida sana mtu kufilisika na kubaki hana mia,sijawahi kuona wakijiua eti maisha yamewashinda....mifano nayo zaidi ya ishirini na watu wanadunda mitaani tu,huyo mwenye kununuliwa pikipiki aliwahi kutoa mawe mara 2 ya ukubwa wa yale mawe ya laizer anaitwa gadi mango,ni mkubwa kma pepekale imagine anatembelea pikipiki ya kununuliwa n washkaji
 
Mimi roho ya 2usugu na kutokata tamaa nimeikazia zaidi huko migodini..mtu anakuambia aliwah lamb 500m lakinj anadunda tu...at first nilikua naumia san nikipoteza hela...nilikua nalala sk nzima..nikakutaja na walopoteza hela bwana 🙌
 
Mimi roho ya 2usugu na kutokata tamaa nimeikazia zaidi huko migodini..mtu anakuambia aliwah lamb 500m lakinj anadunda tu...at first nilikua naumia san nikipoteza hela...nilikua nalala sk nzima..nikakutaja na walopoteza hela bwana [emoji119]
Mtu anapoteza n kua kapuku kabisa na maisha yanasonga,huyu anatuletea story za kujiua eti maisha yamempiga...aje nimuonyesha waliokua madon sasa havi wanagongea sigara....mtu anakuambia pesa aliokula huku yuko normal
 
Mtu anapoteza n kua kapuku kabisa na maisha yanasonga,huyu anatuletea story za kujiua eti maisha yamempiga...aje nimuonyesha waliokua madon sasa havi wanagongea sigara....mtu anakuambia pesa aliokula huku yuko normal
Tusikate tamaa....maisha lazima yaendelee
 
Kitunguu saumu natumiaje mkuu na hiyo vski napaka mwili mzima au?
 
Nimevumilia miaka nane dadangu nadhani inatosha
Vumilia yatakwisha ..usijikatae...

Aisee si ya kusema...

Kudhulumiwa kila kitu..kubambikiwa kesi ufungwe miaka zaidi ya 5..utolewe kwa masharti ya kukaa kimya...familia imeteketezwa...na mengi tu..

Sijui kilichokusibu..lakini funguka ila kaza moyo.. jiambie utaishi tena vizuri...

Ila hii dunia haina huruma wala usawa...

Sikulaumu.. ... ....
 
Marejeo kwa nani?
Hakuna matatizo mapya duniani ambayo hayajawahi tokea yote yatokeayo ni marudio tu.
Ukitaka kujua wewe huna tatizo au lako ni dogo Sana ingia youtube andika neno mikasa, simulizi nk utapata simulizi nyingi Sana za watu waliopata matatizo makubwa na yakapita unapata cha kujifunza.
 
Matatizo ni SAwa na giza giza ni kitu kipitacho sasa kwann uogope giza ambacho ni kitu kipitacho
 
The next is me sidhani kama huu mwezi utaisha,kwaherini wana jf
Acha ujinga.. Unadhani kujimaliza ndio tatizo, fikiria matatizo yako ukijiua uzito kiasi gani unaenda kwa wale wanaokutegemea, kiasi gani unawaacha na majonzi..

Mtume s.a.w anasema, usijilinganishe na wajuu yako, jilinganishe na wachini yako... Utaona neema za mola kwako..
Kama ni maradhi kuna watu wana maradhi ya hatari huko mahospitalini, kama ni dhiki, kuna watu wan dhiki za kila rangi we mpaka simu ya kuchat jf unayo
Kama ni stress za mapenzi, umechukuliwa demu/mke ndio we ukijiua na kikojoleo chake unaondoka nacho!!? [emoji848], we unakufa huku duniani watu wanaendelea kuruka nae vizuri tu
Pambana maadui zako siki wakuheshimu
Kama ni kufirisika, kuna watu wamefirisika si mchezo..

Kwangu kujiua ni wazo la kifala zaidi kuliko mawazo yoote, labda mtu aliyerogwa..
Mfikirie mzazi wako yupo, fikiria wanao kama wapo n.k

Shida tumeumbiwa sisi, hiyo ni mitihani tu na lazima tuishinde.

Achana kabisa na huo ufala kaka.


Jama jama jama, mie najitolea kwa yeyote yule mwenye fikra za kujiua, kumsaidia kadri niwezavyo... Uwe na ndugu jamaa au rafiki usisite kunicheki
 
Naandika nafuta

usiombe kufikia hio point...

ila ukifikia js tell ur self shida zote nimepitia tyr lipi jipya litakuja baada ya hili??!

Magumu nnayo peke yangu kwani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…