Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Wakuu swali hili.

Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji

Je hii haiwezi sababisha maambukiizi
NJE YA MADA: Condom size haikuwa ya kuendana na maumbile ya waTz Condom za Sasa hivi zinabana Sana na ni fupi..

ngoja nikujibu: uwezekano wa kupata maambukizi kama fungus na magonjwa mengine yatatokea katika hatua za kuivua au maji maji kuingia kupitia sehemu ya wazi ila sio ukimwi kama hakutakuwa na mchubuko..

Hivyo kupata ni Ngumu sana
 
NJE YA MADA: Condum size haikuwa ya kuendana na maumbile ya waTz Condom za Sasa hivi zinabana Sana na ni fupi..

ngoja nikujibu: uwezekano wa kupata maambukizi kama fungus na magonjwa mengine yatatokea katika hatua za kuivua au maji maji kuingia kupitia sehemu ya wazi ila sio ukimwi kama hakutakuwa na mchubuko..

Hivyo kupata ni Ngumu sana
kwaiyo kupata ngoma siku hizi si majimaji na damu tena
 
Back
Top Bottom