Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Naonaa wakuu wanajipakulia minyama tu eti kila mtu ndom haimtoshi ni ndogo kila mtu ndom ni fupi kuliko maumbile yake 😂 dah haya twende kaz 😂😂
 
Naonaa wakuu wanajipakulia minyama tu eti kila mtu ndom haimtoshi ni ndogo kila mtu ndom ni fupi kuliko maumbile yake 😂 dah haya twende kaz 😂😂
Upande wangu Hali hii inanikuta, vipi wewe katika harakati zako hujawahi kutana na hii Kadhia?
 
kondomu za china na japan chukua rough rider.....unapwaya ile ni international standard..
Untitled.jpg
 
Condom ya nini tena si tulikubaliana kutembea bila viatu,condom inapunguza utamu bora ujikaange tu kwani kufa kitu gani bwana,acheni woga
 
Back
Top Bottom