Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

kondom haizuii maambikizi ila inapunguza...pia usipende hadi pakauke ukijua uko kwalishangazi
 
Kama kuna michubuko yoyote waweza pata hasa kama umefanya deforestation ya vuuuuuzy
 
Kondom linaondoa radha ya tendo la ndoa yaani nikivaa sijisikii kama mkunyenge umeingia kunako bibi na baby wangu anasema hivyo hivyo haisi kitu.tumeacha kutumia hilo pila kitambo, napiga kavu naenjoy vibaya
Basi kwa kuangalia tu hii thread watu hawatumii kondomu ji wengi sana

Shida ya ukimwi,watoto wa nje,magonjwa ya zinaa,etc ukiyatafuta utayapata tu at the end of the day

Endelea kushindana na kvma,huwezi shinda my brother
 
Nilifanya tafiti Kama mdau wa afya mwandamizi senior CONDOM nzurii ni BULL CONDOM pekee

Hii ni orodha ya kondomu nilizo zitafiti ambazo ni
ROUGH RIDER,DULEX,DUME, EROTICA,KING SIZE,WET & WILD,POWER PLAY,KISS KISS,LIFE GUARD,FIESTA e.t.c
 
Back
Top Bottom