Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Inaweza leta maambukizi ikiwa ina/itapata michubuko nakutoa au kupata majimaji (damu au virginal discharge) kutoka kwa mwenza. Ni vyema kuchukua uangalifu wa hili, ingawa ni aghalabu kutokea basi nimuhimu kunyoa nywele za sehemu nyeti ili kupunguza uwezekano wakupata michubuko. Pia kucha ndefu zaweza kuleta michubuko ikiwa haita chukuliwa taadhari. Shukran
 
Ukimaliza nenda kanawe na sabuni. Maambukizi unayoweza kupata hapo ni fungus AKA MUWASHO SUGU
Kweli wasidharau wakivua kunawa maji ya uvuguvugu na sabuni ya unga kabisa u will never get the shit
 
Nyoka hawezi akazama wote akapotelea ndani kwenye shimo,,lazima mkia ubaki.

Ukiona mwanamke kameza joka lote na kupotelea ndani kwenye shimo,,
Vaa nguo zako kimbia mkuu,,
hilo sio shimo ni pango AISEE.
 
Kondom linaondoa radha ya tendo la ndoa yaani nikivaa sijisikii kama mkunyenge umeingia kunako bibi na baby wangu anasema hivyo hivyo haisi kitu.tumeacha kutumia hilo pila kitambo, napiga kavu naenjoy vibaya
📍📍nakazia.
na hizi kondom zipigwe marufuku zisiletwe zinapunguza radha ya tendo
 
Back
Top Bottom