Inaweza leta maambukizi ikiwa ina/itapata michubuko nakutoa au kupata majimaji (damu au virginal discharge) kutoka kwa mwenza. Ni vyema kuchukua uangalifu wa hili, ingawa ni aghalabu kutokea basi nimuhimu kunyoa nywele za sehemu nyeti ili kupunguza uwezekano wakupata michubuko. Pia kucha ndefu zaweza kuleta michubuko ikiwa haita chukuliwa taadhari. Shukran
Kondom linaondoa radha ya tendo la ndoa yaani nikivaa sijisikii kama mkunyenge umeingia kunako bibi na baby wangu anasema hivyo hivyo haisi kitu.tumeacha kutumia hilo pila kitambo, napiga kavu naenjoy vibaya