Kweli kabisa mkuu!Ndio, kazi tunazoziona ulimwenguni tukiwemo sisi zinathibitisha zimefanywa na wanasayansi wenye maarifa ya hali ya juu hasa kimahesabu na kikemia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu!Ndio, kazi tunazoziona ulimwenguni tukiwemo sisi zinathibitisha zimefanywa na wanasayansi wenye maarifa ya hali ya juu hasa kimahesabu na kikemia.
Nchi za vetnam,china na japan wakilima mpunga majaruba yakijaa uweka samaki kwenye majaruba na mpunga utakao toka hapo ni hatari.AHSANTE SANA MKUU NIMEPATA KITU MUHIMU SANA NA NIKWELI KABISA HATA USIPOWEKA MBOLEA MAZAO HUWA YANASTAWI NA KUNAWILI ....KWA AKILI YANGU NILIJUA NI ULE UOZO WA MAJANI NA TAKA ZINAZOLETWA WAKATI WA MASIKA
Hapo unakosea binadamu wote tunasaidia unaweza kumzarau huyo aliyesoma hiyo kozi ila ndio hakaweza kukusaidia kukuhandikia kitabu kwa lugha ambayo wafikishiwe wengine ujumbe.Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Huwa naona mkuu wachina na hata indonesiaNchi za vetnam,china na japan wakilima mpunga majaruba yakijaa uweka samaki kwenye majaruba na mpunga utakao toka hapo ni hhatari.
mfano morogoro na mbeya kwenye majaruba lazima ukute makambale na pegere
SahihiHapo unakosea binadamu wote tunasaidia unaweza kumzarau huyo aliyesoma hiyo kozi ila ndio hakaweza kukusaidia kukuhandikia kitabu kwa lugha ambayo wafikishiwe wengine ujumbe.
Hakika mkuu ahsante sanaKuku hawawezi kukojoa kama binadamu au wanyama wengine kwa sababu ya mfumo wao wa utoaji taka.
Badala ya kuwa na kibofu cha mkojo, kuku hutengeneza mkojo wao kama sehemu ya kinyesi chao.
Mfumo wao wa mkojo na kinyesi unakutana kwenye sehemu moja inayoitwa cloaca, ambapo mkojo hutolewa kwa njia ya asidi ya uric (ambayo ni ya rangi nyeupe inayopatikana kwenye kinyesi chao).
Sio somo la historia tafadhaliHapo unakosea binadamu wote tunasaidia unaweza kumzarau huyo aliyesoma hiyo kozi ila ndio hakaweza kukusaidia kukuhandikia kitabu kwa lugha ambayo wafikishiwe wengine ujumbe.
Dah haya mambo magumu sana sanaAu jasho la kuku
Umefanya nivute kumbukumbu za miaka kenda nilipokuwa darasa la 6 wakati tunafundishwa mambo ya taka mwili na namna zinavyotolewa kwenye miili ya viumbe hai.Hakika mkuu ahsante sana
Swali la ziada...kwanini punda anakunya maandazi?Jiulize kwa nini Mbuzi akula majani akunya Karanga
Well done mkuuJamii ya ndege hawakojoi kwa sababu wana mfumo maalum wa kumetabolisha na kuondoa mabaki ya nitrojeni kutoka kwenye mwili wao. Badala ya kutoa mkojo kama wanyama wengi, ndege hutenga mabaki ya nitrojeni kwa njia ya asidi ya uriki, ambayo ni dutu nyeupe na yenye unyevu. Asidi ya uriki huchanganywa na kinyesi na kutolewa kwa pamoja kupita kloaka.
Sababu za kimsingi kwa nini ndege hutumia njia hii ni:
1. Ndege wanahitaji kuhifadhi maji kwa ufanisi, hasa wale wanaoishi katika maeneo kame. Kutoa mkojo kungepoteza maji mengi, lakini kwa kutumia asidi ya uriki, wanapunguza upotevu wa maji.
2. Asidi ya uriki ni nyepesi kuliko mkojo, ambayo inasaidia ndege kuwa na uzito mdogo na kuwa na uwezo wa kuruka kwa urahisi.
3. Asidi ya uriki haina maji mengi, ambayo inapunguza hatari ya kuharibika kwa ganda la yai kutokana na unyevu.
Kwa hiyo, mfumo huu wa kuondoa mabaki wa nitrojeni kwa njia ya asidi ya uriki ni muhimu kwa ndege kwa sababu za kuhifadhi maji, kupunguza uzito, na kuhakikisha usalama wa mayai...
Ama kweli ukifa mke wako aolewe tu 😁
Uric acid kwenye mavi ya kuku ni hivi vitu vyeupevyeupe kama hiviView attachment 3267652
Hakojoi mkuuHiv hakojoi
masomo yana majina ya plag😂😂Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimepta kuelewa zaidi #6💪Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Mkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba?Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimepta kuelewa zaidi #6💪
Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie binafsi ni st7 lakin najitahd kujifunza kupitia mada kama zakwako na znanifaikishia maisha kiasi kwamba ata kimaenndeleo nakimbizana na wanajidai wamesoma maana ata sazngne nikiwa na kazi ya kupga plasta banda la nguruwe nashangaa msaidizi, wa fundi anapga stor zawakati akiwa chuo nabak kuguna tuuu kumbe nachuo kaendaMkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba
Ndio uhalisia mkuu jf nimejifunza mengi mno siwezi elezea tangu mwaka 2013 hadi leo najua na limenisaidia sana hili jukwaa.Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie binafsi ni st7 lakin najitahd kujifunza kupitia mada kama zakwako na znanifaikishia maisha kiasi kwamba ata kimaenndeleo nakimbizana na wanajidai wamesoma maana ata sazngne nikiwa na kazi ya kupga plasta banda la nguruwe nashangaa msaidizi, wa fundi anapga stor zawakati akiwa chuo nabak kuguna tuuu kumbe nachuo kaenda