Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

AHSANTE SANA MKUU NIMEPATA KITU MUHIMU SANA NA NIKWELI KABISA HATA USIPOWEKA MBOLEA MAZAO HUWA YANASTAWI NA KUNAWILI ....KWA AKILI YANGU NILIJUA NI ULE UOZO WA MAJANI NA TAKA ZINAZOLETWA WAKATI WA MASIKA
Nchi za vetnam,china na japan wakilima mpunga majaruba yakijaa uweka samaki kwenye majaruba na mpunga utakao toka hapo ni hatari.
mfano morogoro na mbeya kwenye majaruba lazima ukute makambale na pegere
 
Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Hapo unakosea binadamu wote tunasaidia unaweza kumzarau huyo aliyesoma hiyo kozi ila ndio hakaweza kukusaidia kukuhandikia kitabu kwa lugha ambayo wafikishiwe wengine ujumbe.
 
Nchi za vetnam,china na japan wakilima mpunga majaruba yakijaa uweka samaki kwenye majaruba na mpunga utakao toka hapo ni hhatari.
mfano morogoro na mbeya kwenye majaruba lazima ukute makambale na pegere
Huwa naona mkuu wachina na hata indonesia
 
Kuku hawawezi kukojoa kama binadamu au wanyama wengine kwa sababu ya mfumo wao wa utoaji taka.

Badala ya kuwa na kibofu cha mkojo, kuku hutengeneza mkojo wao kama sehemu ya kinyesi chao.

Mfumo wao wa mkojo na kinyesi unakutana kwenye sehemu moja inayoitwa cloaca, ambapo mkojo hutolewa kwa njia ya asidi ya uric (ambayo ni ya rangi nyeupe inayopatikana kwenye kinyesi chao).
 
Hakika mkuu ahsante sana
 
Hapo unakosea binadamu wote tunasaidia unaweza kumzarau huyo aliyesoma hiyo kozi ila ndio hakaweza kukusaidia kukuhandikia kitabu kwa lugha ambayo wafikishiwe wengine ujumbe.
Sio somo la historia tafadhali

Binafsi niililichukia mno somo la historia na nilifurahi sana kupata F sekondari somo la Historia .Ile F siijutii kabisa

Somo la kijinga sana linamaliza Mb tu kichwani
Kutwa unasoma mambo ya marehemu ooh mara marehemu karl peters,mara marehemu Mangungo ,mara marehemu Mkwawa,mara marehemu Hitler utafikiri uko makaburini unasomewa wasifu wa marehemu toka kaburi hili kwenda lingine

Nafikiri history wanaotakiwa kusoma ni wale wasoma historia za marehemu misibani kama short course ya siku moja tena masaa tu

Somo la kijinga sana historia
 
Jamii ya ndege hawakojoi kwa sababu wana mfumo maalum wa kumetabolisha na kuondoa mabaki ya nitrojeni kutoka kwenye mwili wao. Badala ya kutoa mkojo kama wanyama wengi, ndege hutenga mabaki ya nitrojeni kwa njia ya asidi ya uriki, ambayo ni dutu nyeupe na yenye unyevu. Asidi ya uriki huchanganywa na kinyesi na kutolewa kwa pamoja kupita kloaka.

Sababu za kimsingi kwa nini ndege hutumia njia hii ni:

1. Ndege wanahitaji kuhifadhi maji kwa ufanisi, hasa wale wanaoishi katika maeneo kame. Kutoa mkojo kungepoteza maji mengi, lakini kwa kutumia asidi ya uriki, wanapunguza upotevu wa maji.

2. Asidi ya uriki ni nyepesi kuliko mkojo, ambayo inasaidia ndege kuwa na uzito mdogo na kuwa na uwezo wa kuruka kwa urahisi.

3. Asidi ya uriki haina maji mengi, ambayo inapunguza hatari ya kuharibika kwa ganda la yai kutokana na unyevu.

Kwa hiyo, mfumo huu wa kuondoa mabaki wa nitrojeni kwa njia ya asidi ya uriki ni muhimu kwa ndege kwa sababu za kuhifadhi maji, kupunguza uzito, na kuhakikisha usalama wa mayai...

Ama kweli ukifa mke wako aolewe tu 😁

Uric acid kwenye mavi ya kuku ni hivi vitu vyeupevyeupe kama hiviView attachment 3267652
Well done mkuu
 
Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimepta kuelewa zaidi #6💪
Mkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba?

Hapa tunategemeana Dr anamtegemea bwana shamba
 
Mkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba
Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie binafsi ni st7 lakin najitahd kujifunza kupitia mada kama zakwako na znanifaikishia maisha kiasi kwamba ata kimaenndeleo nakimbizana na wanajidai wamesoma maana ata sazngne nikiwa na kazi ya kupga plasta banda la nguruwe nashangaa msaidizi, wa fundi anapga stor zawakati akiwa chuo nabak kuguna tuuu kumbe nachuo kaenda
 
Ndio uhalisia mkuu jf nimejifunza mengi mno siwezi elezea tangu mwaka 2013 hadi leo najua na limenisaidia sana hili jukwaa.

Hawa watu ni wakuwapotezea tu mimi huwa ni ki google kitu mwishoni namaliza jamii forum ili nije nipate na mawazo ya wachangiaji
 
Back
Top Bottom