Dunia ina mambo hii!!Nn tena
Yani mkuu acha tu.Wale tulioko mtaani tunakuelewa vizuri sana! Game ngumu sana aisee yani ni nyokest! Ugumu unakuwa mara mbili kama ulishawahi kupatia hela kwenye kiyoyozi na kiti cha kuzunguruka!
Watu kama nyinyi hapo utakuta una hirizi kiunoni linapumuwa kabisa halafu gari umeweka sticker This car is protected by blood Jesus.Wewe umefuata huo ushauri? Kwa nini unataka mwenzio aanze ulozi, hujui ataongeza tatizo la 3.
Sasa wenzetu huwa wako kwenye competition na sisi mara nyingi! Ukishapoteza control nae basi jua anageuka na kuwa mpinzani wako kukuzodoa ndio inakuwa communication language!Kaka kuna kitu watu hawakielewi mpaka labda kiwakute, watu wanaomwambia mtoa mada kwanini amekaa miaka mitano bila kupata kazi kuna kitu hawaelewi, kwanza watu tuko tofauti, kitendo cha kupoteza kazi nitakavyokipokea mimi ni tofauti na utakavyokipokea wewe. Kuna mtu akipoteza kazi anaingia kwenye depression moja kwa moja, mtu kama huyu kuja kupata kazi nyingine anahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho kwanza ili arudi kwenye utimamu wake wa akili ndio ataweza kuwa "functional".
Nilishawahi kumfanikishia mtu interview 3, guess what zote aliboronga, na walionishika mkono wanakuja kunichana kabisa kuwa ameboronga na hatukuwa na chakufanya kumbebea. Unajua kwanini? Ile unatoka nyumbani badala ya kutakiwa heri badala yake unaambiwa "usipopata kazi leo sijui unarudije humu". Matokeo yake unaenda kwenye interview umepaniki na tension iko juu. Hiyo moja interview ya vitendo ilikuja kumbeba angalau akapata hiyo kazi.
Afya ya akili ni jambo la muhimu sana, unapaswa kuilinda kwa kadri uwezavyo.
Mbona umemtajia kazi ngumu ngumu,bora awe ana bet tu.Ndugu samahani kwa nitakayo kuambia ila ndio ukweli. Kuna kitu kingine unahitaji ambacho hukijui au unakijua. Kusali umeshasali mpka umefunga kwa maombi, yawezekana umeshaombewa na kufarijiwa Sanaa. Lin Bado matatizo Ni yaleyale hatabadiliki. Hapo usutafute mchawi Nani, ila tafuta pesa. Ndugu Bora ya ww uliwahi hata kuajiriwa sisi wengine ajira hatujaonja kabisa na Wala hatuijui na maisha yanaenda.
Nakushauri usibaki nyumbani, yaani asikukute nyumbani hata Kama huna mishe, na baadhi ya majukumu yake usifanye mwache aje kufanya akirudi Kama zamani. Jenga heshima yako ileile ya mwanzo. Angekua mpole ungeendelea lakni anakisebengo kata hizo kazi unazo fanya. Akikujibu jeuri mchimbe kibezi, mpige biti haswa Tena ukiwa Serious we ndo kidume Cha nyumba.
Pia shughuli za kufanya kitaa zipo nyingi Sana. Za mtaji mdogo lkn inabidi utumie nguvu.
1.) Kajiunge kwenye machimbo ya mchanga hukosi elfu 10 Hadi 20 kwa siku.
Mtaji Ni chepe/spade(tsh.,8000, na jembe tsh. 7000.)
2.) Kwenye machimbo ya kifusi haukoshi shilingi 10 Hadi 20 kwa siku. Mtaji Ni chepe(8000) na sururu( 10000).
3.)Kubeba zege kutwa 10000 Hadi 20000. Mtaji Ni nguvu zako tu. Nenda sehemu zenye ujenzi utapata Ni rahic tu.
4.) Kuvunja na kukusanya mawe ya kujengea. Nenda kajiunge na vijana wanaofanya hizo kazi za kukusanya mawe ya kujengea porini. Hukosi kuanzia laki 2 Hadi 3 kwa mwezi. Mtaji Ni nyundo kubwa (50000), chepe (8000), sururu (10000), mtalimbo (15000).
5.)Saidia fundi, kwa siku tsh 5000 hadi 7000. Mtaji Ni nguvu zako tu.
6.) Dereva bajaji na bodaboda. Mtaji Ni uaminifu wako tu.
7.) Kuponda kokoto hukosi 300000 kwa mwezi Ila Ni kazi ngumu sana. Ilinishinda, hivyo siwezi kuielezea Sana. Mtaji Ni nyundo ndogo ya kg 5 Hadi kg 10 (tsh. 30000).
Ndugu, hizo kazi nimefanya baada ya kupata degree yangu pale mlimani UDSM. Mpaka Sasa nafanya kazi ya kuvunja mawe ya kujengea ambayo nawauzia madereva na maboss wenye viwanja. Sikosi laki 3 Hadi 5 kwa mwezi.
Ninamudu kulipa pango la nyumba 50000 kwa mwezi. Na sijawahi kuchelewesha.
Tatizo sio wife tatizo Ni ww hujitumi. Tumia mpaka nguvu za mwili ili Mambo yaende, ukianza kujishughulisha wife hata dili na ww na mapenzi yatarudi.
Nakupa mifano iliyo hai kwangu kwa picha. Na pichani Kama ninavyo onekana Wala sina sura ngumu Sanaa. Ila napiga kazi ngumu ili maisha yaende. Mpaka binti wa watu ananiita baba.
Oyaaa mkuuu there is only one way to become a champion "never fucking loose"
Huu msemo niliupata kwenye series ya spatacus. Unanipaga moyo kwamba as long as am a man I don't have to loose. View attachment 1972918View attachment 1972919View attachment 1972921View attachment 1972920View attachment 1972922View attachment 1972924View attachment 1972923.
Uliwahi kuifanya hiyo kazi?Mkuu unachukulia 15000 au 20000 kwa siku Ni swalaa la mchezo mchezooo etiiiii
hata mi sijasema umeua.Sasa sijaua ndugu
Eeh atembee unajua sometimes haya majanga ya kupigwa kiuchumi unakuta ni ardhi ama eneo ulilopo kuna laana au washirikina wengi so wanaamua kukuharubia tu katika ulimwengu wa kiroho. Ndio maana tunashauriwaga sana kubadili upepo mara kwa mara!Yani mkuu acha tu.
Kutokua na hela katika ulimwengu wa mwili ni sawa na kutokua na Imani kwenye ulimwengu wa roho. Ni kazi bure.
Ila namsisitiza kama bado yupo below 40 apotee kidogo home aka hustle.
Talk is damn cheap! Tukienda kwenye uhalisia aisee usiombee mzee...Mtu anaweza akakupa mtaji leo hii hata laki na nusu!Mkuu unachukulia 15000 au 20000 kwa siku Ni swalaa la mchezo mchezooo etiiiii
Unaulizwa upo mkoa gani tuweze kukupa michongo wanawake siyo kiumbe wa kumwamini jipange upya mkuu Hii ni vita ya kiuchumiKichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Ifikie mahali watu waseme pesa zilipo ili mtu akazitafute huko huko! Sio kusema tafta pesa kama mlevi alieshiba komoniHii statement ya kuwaambia watu watafute pesa imekuwa too much humu jamvini. Kwani nani hatafuti pesa hadi aambiwe kuwa tafuta pesa? Muache huu uhuni.
Mzee hakuna namna mm nafanya hizo kazi. Na pesa napata za kukikimu na familia. Sasa Bora kipi kufanya kazi ngumu au kukaa tu home bila kazi. View attachment 1972941View attachment 1972942Mbon
Mbona umemtajia kazi ngumu ngumu,bora awe ana bet tu.
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Uko wapi mkuuSoma vizuri Uzi wng nimekwambia nimejaribu issues nyingi tu hadi za umachinga lkn zimejamba, embu fikiria kutoka kutunza kumbukumbu hadi kuwa machinga na huku kitaa unakuta watu wapo kwenye hizo mishe kitambo tu halafu we wakuja uje utoboe kirahisi tu wanakuangali ..
So skukaa kindezi lkn kitaa kiskie tu ndugu yangu hali sio nzuri sn
Mkuuu naelewa unachopitiaNyumba tunayoishi ni ya kupanga nikimtimua msala utabaki kwangu kwakuwa yy ndiye anaye run show, kodi ya nyumba na mahitaji mengine yy ndio provider Mkuu, mm kipato changu ni kidogo sn , sku mojamoja nikibahatisha ndio nakuja na mahitaji kidogo japo sio toshelezi
Ya Kupanga ndo nzuri mzee Apo hufukuzi unachukua begi yako unasepa..! Nyumba Kama Ni yako kinachouma akimleta Mayobi ndaniUtafukuza nyumba ikiwa yako! Kama wamepangisha je!?