Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Nilipobold hapo nimeelewa tatizo huwa ninini, Competition! Kwamba akikulisha anaona anakumuduuu? 😀 Aisee sisi wanawake Mungu atusaidie sana. Sisi mbona tunalishwa/tunzwa maisha yetu yote? Binafsi mimi huwa pesa yangu naitoa mwenyewe na kuomba tuipangie matumizi sababu kila kitu kinakuwa sorted by him, na mimi sio mwanamke wa misaluni na kununua nunua mitrend, somehow i manage kutunza my money. Ila nimegundua kuwa fanya mazuri kwa mkeo/mumeo ukiwa vizuri siku mambo yakienda kombo akiamua kurudisha fadhila sawa, akikengeuka atakutana na rungu la KARMA.

Women, ngoja niwaambie kitu, kama mumeo akikwama sio lazima umlishe na kumtunza bali mwoneshe njia, mpe connection au mpe mtaji, Naelewa watu wanakuwa protective kwamba nikimfanyia hivi what if akija kuniumiza/kuniacha au kupata mchepuko, jamani do your part kuumizwa ni part ya maisha pia, iachie dunia itamfunza. Tusione ndoa za watu zimedumu miaka na miaka watu wameanguka na kunyanyuana mara nyingi sana, tena baadhi ya wanawake ni hodari kuingia bank au vikoba au mifuko ya kazini kuwakopea waume zao, hawawaambii siri hawa wenye ndoa zao stable, watajifanya my man this my man that kumbe kuna muda wanakaza matako wenyewe ili
kulinda familia hawatuambii ukweli, matokeo yake sisi wakwetu wakifeli tuko kuwanyanyasa na wenzetu wanatuchora tu!

Anyways, ngoja niache mahubiri ambayo ni impossible, people are so evil, Siku tukijua watu wanawaziana nini tutachanganyikiwa. Hata hivyo hakujawahi kuwa na baya katika kufanya mazuri.

I might fail in everything kwenye marriage ila sio kuacha kutoa support morally or materially. Kila mtu achague anachokiweza na akifanye kwa ufasaha. This is life!
 
Watakuja kukupondea kuwa unajidai wife material sana 😂!

Well nachoamini if you are raised well na unaelewa maana ya maisha hii dunia siyo sehemu ya kuringiana kabisa. Utu ndio thamani pekee ambayo unaweza kumuonesha mwenzi wako! Utu ni priceless yani haununuliki kwa shilingi hata moja!

Ukiweza kuishi na watu kwa utu basi mi huwa naamini unajiandalia amali zako hapa hapa duniani! Each time mtu uliyemsaidia akimsaidia mwingine blessings zina flow kwenye maisha yako as well!

Maisha ya ndoa yanawashinda wengi pale ambapo competition inakuwa sehemu ya mchezo! You must work as a team ila ikitokea mmoja anataka kujiona special au superior being ni swala la muda tu 😅
 
Huyo mwanamke, ni malkia wa nguvu. Kitendo cha kumvulia chupi houseboy wake, ni cha kishujaa sana.
 
Kila unacho shauriwa unakitafutia sababu, inaonekana umeridhika na hiyo hali na haikua na sababu ya kuomba ushauri/ ni stori ya uongo (chai)

Na kama ni stori ya kweli jiandae kuanza kulala chumba Cha beki3 huku yeye akikuletea wanaume ndan na asubuhi uwahi kuamka uwatengenezee breakfast
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee sitaki kukumbuka sema yule mwanamke alijitahidi sana kuniheshimu na kunipa nafasi kama Mwanaume japo nadhani alikuwa na moyo ule sababu aliamini kwa elimu yangu ipo siku Nitatoboa japo sometimes alikuwa na visirani balaaa but nilikuwa naelewa sababu sio Asili ya Mwanamke kubeba majukumuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3] wakwangu anavisilani ingawa bado hazijaisha sijui 2 zikiisha
 
Hauna mdogo wa kike huko aisee mwenye Yuko Kama wewe unipe .

Huku nilipo naona Bomu linachemka ila nimejipanga vizuri .
Watu hatufanani aisee, nikikupa watakupasua vichwa hawa na walivyo visu. Ujue nini mimi sio
mwema kiivyo nina drama zangu sana, ila nathamini mno utu wa mtu. I'm a good sister, friend and partner too. Roho yangu ina uoga sana.

Kwenye maisha yangu nina option mbili tu kuishi vizuri na mtu au kuishi mwenyewe.

Ukitaka kwenye mapenzi usiteseke kuwa mtu mwema na chagua kwa uangalifu na wala usione aibu kuchelewa kupata.
 
Wote walioweza walitafuta shughuli za kufanya haraka hata kama ni kipato kidogo. Nachokiona kwako una kauvivu fulani, punguza! Usipende kukaa sana nyumbani hata kama huna kazi. Kazi/shughuli zipo za kufanya mtaani japo kipato ni kidogo ila unaweza kusave ukaja kufanya kitu kikubwa. Sababu wife bado anakupa kula. Mvumilie mke wako ishi kwa tahadhari, akizingua mteme!!
 
Labda anachangamsha genge tu hapa, hayajamkuta huyu.... Nasi ngoja tulichangamshe genge.

Ila kama yuko serious kuna vitu ameelewa na amechukua.
 
Nimekupenda sana hakika mwenyezi mungu akujalie kama huna upate mwenza wa kufanana na wewe. Ukiyaaishi yaliyoandikwa katika vitabu vya dini na misingi bora ya wazee wetu hakika utajipunguzia mzigo mkubwa wa stress. Kwenye maswala ya ndoa watu wanafeli mwanzo katika kuchagua mwenza, watu wanaokotana tu nakuishi pamoja, wanashindwa kujua ndoa ni safari ya maisha yahitaji busara na hekima katika kuchagua wakuanza nae safari, Vijana wasikuhizi wanaangalia sura na maumbile ambavyo kwa kawaida hivi huisha na kupotea nakuacha kuangalia Tabia/maadili na Imani. Matokeo yake mambo ya kienda vibaya mnaanza kuchukiana nakuoneana mizigo.
 
Binafsi niliwahi kupitia hiyo hali namuheshimu sana wife maana hakuwahi kuonyesha tofauti au kunidharau, alikua anamtumia hado bi mkubwa hela za matumizi kijijini na anamwambia kwamba mimi ndio nimempa atume, familia yangu haikuwahi kujua kwamba sina kazi maana wife aliendelea kuwasapoti, baada ya muda alichukua mkopo ofisini kwao akanipatia nikaanza biashara na mpaka sasa tumesimama

Jambo ambalo nilijifunza, baada ya mimi kusimama, ninajitahidi kufanya mahitaji yote kwenye familia ili wife apate kusave hela, maana kipindi nimekwamba wife alikua na akiba ya kutosha kwa sababu huko nyuma nilikua nafanya kila kitu hivyo nae akawa mjanja akaweka akiba ya hela ambayo ilitusaidia sana kipindi cha mpito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…