othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
- Thread starter
-
- #241
Huko kwenye kubet ndio kama sina bahati kabisa, kila nikibet muhindi anakula kichwa tena wkt mwingine timu moja tuMbon
Mbona umemtajia kazi ngumu ngumu,bora awe ana bet tu.
Mm sio house boy ni mume wake wa ndoaHuyo mwanamke, ni malkia wa nguvu. Kitendo cha kumvulia chupi houseboy wake, ni cha kishujaa sana.
Ama hujui maana na mamlaka ya kuwa "mume" au hujui namna ya kuitumia mamlaka hiyo. Natamani ufanye study tour uje huku mtaani nikuoneshe mwanaume mwezetu mmoja hivi(jirani yangu na ni rafiki yangu pia) jinsi ambavyo yupo consistent na mamlaka yake licha ya kwamba ana changomoto kubwa sana ya kifedha kwa takribani mwaka sasa(mimi mwenyewe namdai). Lakini anasimama kwenye nafasi yake kama mume kana kwamba ana mihela Bill Gates akasome. Panapostahili kuonya anaonya na kukemea tena kwa mamlaka. Mahali pa kupongeza anapongeza safi kabisa. Panapohitaji kukemea anakemea kwa ukali hatari. Rafiki,umemuuzia mkeo mamlaka yako pasipo kujua na kwa bahati mbaya na yeye anajidanganya eti kwa vile anaprovide mahitaji ya kimwili kwenye familia basi ndio kashapata tiketi ya kupindua meza na kuitwaa mamlaka ya kuwa "kichwa cha familia".Kwa faida yako na wana JF kwa ujumla niwadokeze tu kwamba hakuna mwanamke anayefit kuwa kichwa wa familia haijalishi ni tajiri au ana hadhi au cheo gani kwenye jamii.Kuwa "kichwa cha familia" sio mchezo mchezo.Ni zaidi ya vyeo vyote katika dunia hii unavyovifahamu na usivyovijua pia. Kama unabisha muulize aliyetuumba atakupasha habari kiundani zaidi.Shida yangu ipo wp ndugu
Mara nyingi tukitofautiana yy huwa ndio anahama chumba anaenda kulala chumba kingine au siku nikitofautiana nae na nimechelewa kurudi huwa hanifungulii geti na ananitumia ujumbe kwenye simu nikalale huko nilipokuwa,Kila unacho shauriwa unakitafutia sababu, inaonekana umeridhika na hiyo hali na haikua na sababu ya kuomba ushauri/ ni stori ya uongo (chai)
Na kama ni stori ya kweli jiandae kuanza kulala chumba Cha beki3 huku yeye akikuletea wanaume ndan na asubuhi uwahi kuamka uwatengenezee breakfast
Yaani hapo ndio huwa najiuliza kwamba itakuwa imeshachaktwa au ni joto tu la mbususu si unajuwa wenzetu hawa kazini kutoka asubuhi kurudi jioni na huko kazini ni nadra kupata muda wa kujiweka safi Mara kwa mara tofauti na wakiwa nyumbani.Ulivyoviona katika kufua chupi si ni ameishachapwa sasa
Hata mimi nimehisi hii ni chai lakini nicomment hivyo hivyo kuongezea sukariKila unacho shauriwa unakitafutia sababu, inaonekana umeridhika na hiyo hali na haikua na sababu ya kuomba ushauri/ ni stori ya uongo (chai)
Na kama ni stori ya kweli jiandae kuanza kulala chumba Cha beki3 huku yeye akikuletea wanaume ndan na asubuhi uwahi kuamka uwatengenezee breakfast
Mwambie akapambane zaidi we utafua hivyo vitone au madoa ya mabao ili akupatie mtaji ujichanganye kitaa huwezi kufanikiwa kwa kukaa sebleni anza ata kuuza matunda ya kukataa kwenye parcel town au bar flan acha na mambo ya kuona noma mkeo atafumuliwa marinda kwa kutafuta pesa ya kuwalishaKichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Unaweza kunishauri tu bila kukutajia mkoa nduguUnaulizwa upo mkoa gani tuweze kukupa michongo wanawake siyo kiumbe wa kumwamini jipange upya mkuu Hii ni vita ya kiuchumi
Sometimes huwa najichanya narudi na kiasi cha mboga lkh haki sustain na dharau ndio zinazidi tuWala usilalamike. Fanya tuu kama hana kipato.... tafuta kazi upate uwezo wa kutunza familia kama wanaume wengine wasio na ajira wanavyofanya. Wanawake tunachokaga hizo mambo mapema sana, haswa ukute ulimvutia na pesa kumpata[emoji39][emoji39] japo wengine wanaweza kuvumilia ila lazima kuna vitu havitaenda sawa kama zamani sababu mzigo unamuelemea
Fanya hata kibarua cha kubeba mizigo, endesha hata bodaboda ya mtu ila tunza familia yako kama baba
Amia Cole WilliamsPole sana mkuu there is always light in the end of the tunnel
Amina iwidia2k:Mkuuu naelewa unachopitia
Ushauri naupokea lkn positiveWewe utakuwa mvulana sio mwanaume kwa maelezo yako ya mwanzo na ufafanuzi ulioleta unaanza kukosa sifa za mume wa mtu...Halafu unapewa ushauri mzuri wa watu lakini unang'angania unachojua wewe sasa umekuja kuomba ushauri wa nini hapa jf kama unalo jibu...wewe endelea kukaa kulea watoto,kufua nguo za mkeo na kuwaza mbususu badala ya kutafuta pesa matokeo yake utayaona kama sio ndugu zako kuja kushuhudia ukienda jela au maiti yako kabisa hapo baadaye.Acha ujinga PAMBANA KIJANA ACHA KULIALIA HAKUNA MTU atakuja kukusaidia ...Suluhisho liko mikononi mwako na kama huna basi nitafute Iinbox nikushauri kitu.Kumbuka AJIRA si kuajiriwa tu FIKRIA KUJIAJIRI .Na wakati unafikiria kujiajiri KABEBA ZEGE,UZA GENGE,UZA MITUMBA KARIAKO,KANUNE SAMAKI FELI UZA MTAANI...........Mungu anakupa mawazo kupitia kwa wanadamu na tunakupa akili wewe unataka kutoboa,mara unatuzoom tu kwa sababu mkeo alikuwa anakupa mbususu hadi ana sasa endelea kuwaza waza hayohahyo tu.KIFUPI leo hii Ondoka hapo nyumbani nenda mbali kashinde huko siku nzima hata kama huingizi pesa lakini usikae ndani ndio maana heshima inashuka ,,,,wenzako tukikosa pesa hatukai nyumbani kuwafulia wake zetu nguo hadi za ndani tunaenda kuongea na watu mbalimbali na kuchagua yanayotufaa ile kuleta heshima nyumbani na kwa jamii ..mbona kazi ziko kibao ila wewe huna mtandao kwa sababu umejifungia ndani na kukaa kusikiliza mkeo akiongea na mwenzake (umbeya huo).....Halafu wewe jamaa unakaaje siku nzima unaangalia TV wakati huna kazi na bado ukawa na nguvu ya kuomba mbususu .......Acha kula chakula kwa pesa ya mkeo unajua anaipataje ...nenda katafute chako hata kama uningiza shs 3,000 mwanamke atakuheshimu...
Mungu na aiponye ndoa yakoNilipobold hapo nimeelewa tatizo huwa ninini, Competition! Kwamba akikulisha anaona anakumuduuu? [emoji3] Aisee sisi wanawake Mungu atusaidie sana. Sisi mbona tunalishwa/tunzwa maisha yetu yote? Binafsi mimi huwa pesa yangu naitoa mwenyewe na kuomba tuipangie matumizi sababu kila kitu kinakuwa sorted by him, na mimi sio mwanamke wa misaluni na kununua nunua mitrend, somehow i manage kutunza my money. Ila nimegundua kuwa fanya mazuri kwa mkeo/mumeo ukiwa vizuri siku mambo yakienda kombo akiamua kurudisha fadhila sawa, akikengeuka atakutana na rungu la KARMA.
Women, ngoja niwaambie kitu, kama mumeo akikwama sio lazima umlishe na kumtunza bali mwoneshe njia, mpe connection au mpe mtaji, Naelewa watu wanakuwa protective kwamba nikimfanyia hivi what if akija kuniumiza/kuniacha au kupata mchepuko, jamani do your part kuumizwa ni part ya maisha pia, iachie dunia itamfunza. Tusione ndoa za watu zimedumu miaka na miaka watu wameanguka na kunyanyuana mara nyingi sana, tena baadhi ya wanawake ni hodari kuingia bank au vikoba au mifuko ya kazini kuwakopea waume zao, hawawaambii siri hawa wenye ndoa zao stable, watajifanya my man this my man that kumbe kuna muda wanakaza matako wenyewe ili
kulinda familia hawatuambii ukweli, matokeo yake sisi wakwetu wakifeli tuko kuwanyanyasa na wenzetu wanatuchora tu!
Anyways, ngoja niache mahubiri ambayo ni impossible, people are so evil, Siku tukijua watu wanawaziana nini tutachanganyikiwa. Hata hivyo hakujawahi kuwa na baya katika kufanya mazuri.
I might fail in everything kwenye marriage ila sio kuacha kutoa support morally or materially. Kila mtu achague anachokiweza na akifanye kwa ufasaha. This is life!
Nahitaji sn ushauri ndio maana nimeleta humu huu Uzi,Kila unacho shauriwa unakitafutia sababu, inaonekana umeridhika na hiyo hali na haikua na sababu ya kuomba ushauri/ ni stori ya uongo (chai)
Na kama ni stori ya kweli jiandae kuanza kulala chumba Cha beki3 huku yeye akikuletea wanaume ndan na asubuhi uwahi kuamka uwatengenezee breakfast
Bravo rikiboyAisee sitaki kukumbuka sema yule mwanamke alijitahidi sana kuniheshimu na kunipa nafasi kama Mwanaume japo nadhani alikuwa na moyo ule sababu aliamini kwa elimu yangu ipo siku Nitatoboa japo sometimes alikuwa na visirani balaaa but nilikuwa naelewa sababu sio Asili ya Mwanamke kubeba majukumuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mwanamke ni wamoto balaaKama hela hamna ndani ni balaa mkuu.. Yani mwanamke anakuwa jeuri na kiburi hasaa hata umpige utaua tuu
Huu ni ukweli mtupu hakika napita kwenye tanuriLabda anachangamsha genge tu hapa, hayajamkuta huyu.... Nasi ngoja tulichangamshe genge.
Ila kama yuko serious kuna vitu ameelewa na amechukua.
Kwa mwanamke kama huyu hata mambo yakikaa sawa sishauri kuendelea kuishi nae kwa sababu kashaonesha rangi yake halisi. Amshukuru Mungu amejua uhalisia wa mke wake kupitia changamoto anazopitia. Unakuta kijana anaogopa kuingia ndoani miaka na miaka kumbe anahofia kukutana na viumbe kama hivi.Sasa wenzetu huwa wako kwenye competition na sisi mara nyingi! Ukishapoteza control nae basi jua anageuka na kuwa mpinzani wako kukuzodoa ndio inakuwa communication language!
It takes an understanding woman to ease up the situation! Wengine watakwambia unajidekeza sana bana we kama litoto! These kind of languages ni challenging and unsupportive! Unakuwa na mtu anakuongezea stress tu yani kero ila una shida ufanyeje unaamua kuwa calm tu!
Imagine siku umechomoka kwenye huo mtego inakuwaje? Si ndio kumnyoosha vizuri sasa uje uonekane mkatili mbele ya jamii?
Sina nitakachoweza kiprove kwako kuthibitisha ninachopitia ila tambua kwamba napitia chabgamoto kubwa snUkimfatilia tu majibu yake kwa umakin utajua n mtu ambae hapitii hizo Changamoto wala haitaj ushaur ila anahitaji tu kuchatchat