Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Hata mm mwanzoni hali ilikuwa nzuri tu wife hakuwa na shida ila naona sasa mzigo umemuelemea na anataka kuutua ila kwa visa
 
Mwanamke mkilingana kipato anakudharau kiaina bila wewe kugundua, kama huna kabisa ndio atakukalia kichwa ni na kuvunjilia mbali ile amri ya Mungu kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba. Pole ndugu yangu, ukombozi wako ni kutafuta kazi yoyote ili mradi mkono uende kinywani.
 
Nauzingatia ushauri wako mwamba
 
Sasa niende wp ndugu sio rahisi tu kusema ondoka hapo na hujui pa kuelekea,

Embu vaa viatu vyangu nigger
 
Hicho kipindi kigumu sana yaani nayaona maumivu unayoyapata. mngekua mnaishi mikoani ningewashauri mkapange nje ya mji huko ungefanya hata shughuli za kilimo na ufugaji unakua busy siku nyingine unauza mfugo unapata pesa ya kununua hata kadeti na tshirt unaonekana smart
 
Usiseme hivyo mwamba
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Inategemea na unavyojiweka. Maisha ni mwandiko unaandika wengine wanakusoma.
 
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
watatesekaje wakati we upo tu hapo umkalisha pu****u na mama yao anawalisha vizuri tu hawateseki we sepa zako ili mkeo apate nafasi ya kuwalea bila kuwa na kinyongo na uwepo wa mtu kama wewe usiye na maamuzi
 
Pole mkuu.. "Ukitaka kuchepuka hauwezi", hajakuloga mkuu, ni vile tu kwasasa huna nguvu za kiume aka mpunga.. Jambo la kheri ni kwamba muda ni suluhisho la kudumu, jipe muda kidogo mambo yatakaa sawa!
 
watatesekaje wakati we upo tu hapo umkalisha pu****u na mama yao anawalisha vizuri tu hawateseki we sepa zako ili mkeo apate nafasi ya kuwalea bila kuwa na kinyongo na uwepo wa mtu kama wewe usiye na maamuzi
Kwanini unamsema? Me numemuelewa kuwa baada ya kuachishwa kazi akaendelea kupambana kadiri ya uwezo wake, lkn mambo bado hayajakaa sawa.. Sijaona kama amekaa tu na kumbweteka "mbweta"😊😊😊
 
Kuna mambo umeyachukulia juu juu.
Akienda kufanya hiyo kazi basi watahitaji kuajiri house maid, sababu yeye na mkewe hawatakuwepo kuhudumia watoto.

Je hizo kazi zitatosha kumlipa huyo msaidizi wa nyumbani na ikabaki ya kuchangia matumizi ya familia na matumizi yake binafsi?

Nakuhakikishia kazi ulizo mshauri haziwezi kukidhi mahitaji na kuchangia kusomesha watoto shule binafsi.
 
Nimeagwa kwamba wik ijayo atakuwa na safari ya kikazi anaenda dar - es salaam na atakuwa huko kwa wikimbili hivyo nijiandae kubaki na familia

Sasa sijui ni kweli ni safari ya kikazi hapo au kuna mbwiga anataka akamege tunda langu, arrgghhhh, kmmmk ukweli pesa mwanaharamu kidume nachezewa akili yangu.

Na kimsingi siwezi kumzuia inawezekana ni kweli safari ya kikazi au pia isiwe kweli ni ujanja tu anafanya ili akale starehe zake

Eeeh mungu niepushe na hili balaa nisijekuchukua maamuzi magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…