Ukweli ni kuwa You can't handle them kipindi kama hilo..... Bali ukweli ni huu kwa wanaume wote.
Ukipoteza hiko kinachokuingiza kupato Sasa hivi iwe kazi biashara etc jua na mwanamke atakukimbia haijalishi atakupa maneno gani matamu ya kukufariji hapo mwanzo but jua she will left na kama hata ondoka then hakuna rangi ya dunia hii utaacha kuona. You will live hell in earth.
So njia pekee ya kiumbe huyu akianza kufanya anayo fanya ni kulala mbele ukaanze 1 mwenyewe basi coz then next step itakayofuata Utaanza kuletewa wanaume na utawaona kwa macho yako and you will have nothing to do or to tell her.......na yote hayo atayafanya ili UFE MAPEMA....... na the truth is YOU WILL DIE BEFORE HER sababu ya stress atazokupa maana hawa Wana degree za kukera.