othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
- Thread starter
-
- #41
Najitahidi lkn maisha haya naona yanazoeleka kwa kasi habadiliki kila siku ni visa tuOk kuwa na mawazo chanya juu yake na sio hasi
Heshima itarudishwa na uwezo wako wa kuweza kuhudumia familia yako tuu mkuu, huko ndiyo weka nguvu zako zote, hawawezi kukuheshimu bila hilo, maana hawakuuimbiwa hichoNifanyeje sasa ili heshima yangu irudi kama zamani
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu, ni mapito tu ipo siku yataisha.Najitahidi lkn maisha haya naona yanazoeleka kwa kasi habadiliki kila siku ni visa tu
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kuhusu wanaume pia naanza kuhisi sababu kuna mda atapigiwa simu hata saa saba za usiku na anapokea bila wasiwasi ukimuuliza atakwambia ni workmate wake anamkumbusha kazi za kesho ofisiniUkweli ni kuwa You can't handle them kipindi kama hilo..... Bali ukweli ni huu kwa wanaume wote.
Ukipoteza hiko kinachokuingiza kupato Sasa hivi iwe kazi biashara etc jua na mwanamke atakukimbia haijalishi atakupa maneno gani matamu ya kukufariji hapo mwanzo but jua she will left na kama hata ondoka then hakuna rangi ya dunia hii utaacha kuona. You will live hell in earth.
So njia pekee ya kiumbe huyu akianza kufanya anayo fanya ni kulala mbele ukaanze 1 mwenyewe basi coz then next step itakayofuata Utaanza kuletewa wanaume na utawaona kwa macho yako and you will have nothing to do or to tell her.......na yote hayo atayafanya ili UFE MAPEMA....... na the truth is YOU WILL DIE BEFORE HER sababu ya stress atazokupa maana hawa Wana degree za kukera.
Kabla ya hapo ulikuwa unafanya kazi gani? una ujuzi au taaluma gani?Hapa mtaani ninapokaa wapo wanaofanya hizo shughuli za udobi na kushona lkn hawatoboi nao wanalalamika maisha magumu
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Yaani watoto ndio wanaoniumiza kichwa, visa vyake nimeshavizoeakama kuna watoto hapo panahitaji hekima nyinyine, kuwa mtulivu pambana kwa bidii zote usiku na mchana urudishe heshima, ifanye hiyo changamoto kama ndio msukumo kwako..
Kutoboa ni ngumu labda ukaweke kijiwe posta kule au karibu na TRANashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi ila kwa shughuli hizo nitaweza kutoboa kweli au dharau ndio zitazidi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hela ngumu na kupewa heshima pia ni ngumu kama huna hela😂hakuna mbinu/njia nyingine zaidi ya kutafuta pesa
yaani mkeo 'akuhonge' na akupe 'papuchi' pia
Kama kuna ukweli Fulani kwenye hizo pichaJinsi wife wako anavyokuona akirudi kutoka job[emoji205][emoji116]View attachment 1972747View attachment 1972748
Lkn kwenye ndoa tuliapa tutaishi pamoja wkt wa shida na rahaHeshima itarudishwa na uwezo wako wa kuweza kuhudumia familia yako tuu mkuu, huko ndiyo weka nguvu zako zote, hawawezi kukuheshimu bila hilo, maana hawakuuimbiwa hicho
AminaPole sana mkuu, ni mapito tu ipo siku yataisha.
Usiombe kukutwa na bwana pepsi, yani utatamani ardhi ipasuke udumbukie ndaniAsante kwa ushauri, yaani ambao hawakupitia hizi changamoto wasiombe ziwakute
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa mtunza kumbukumbu, Masijala kwenye halmashauri moja hapa nchini tz, magu alipoingia mzigoni ndio kama mlivosikia kilichotokea kwa wafanyakazi wa Tz.Kabla ya hapo ulikuwa unafanya kazi gani? una ujuzi au taaluma gani?
Hahahahahahah wife huyo anakuona ng’ombe tu imekaa kwenye kochi 😂Jinsi wife wako anavyokuona akirudi kutoka job🐒👇View attachment 1972747View attachment 1972748