matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Noma sana mkuu.Dah ila haya maisha bana, tucheke sana ila mzee kufulia kubaya sana yani! Uwe ghafla huna kitu halafu unamiliki mke mara bills umezishindwa kuzilipa aisee ni balaa na nusu!
Yani msione vizee vinakomaa maofisini hata kwa ndumba asikudanganye mtu kuendesha familia kwa hela ya kubahatisha bahatisha mtaani ni ishu.
MkUu nikupe pole ila kwa maoni yangu mi naona we sepa zako hapo usiendelee kudhalilika yani! Sepa kaparangane na life kimpango wako tena kimya kimya wala usiage we ondoka zako tu sababu hata ukiaga haina maana tena ndio mke atafurahia umempa nafasi awe anakuja kujivinjari na hawara wake mjengoni kwako hapo!Asante kwa ushauri wako, nahisi pia ndugu zake wanamchango mkubwa ktk kubadilka kwake labda wananiona marioo siwezi tena kuwa msaada kwa ndugu yao
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Jamani njooni muoneni Single Mother hukuHapo kwenye kukupelekea maji ya kuoga hivi hiyo sheria IPO kwenye kitabu gani? Hiv kuoga uoge were maji upelekewe ,labda kama unaumwa na umetoka wodini lakini uko mzima mmmh hapana.
Taifa lipi hilo ni utapeli tu! Yani mara mia mwanaume awe bread winner ataokoa mke na ukoo wake mzima ila mke hapana kwa kweli!Noma sana mkuu.
Mtoto analia mama njaa. Mama anasema mwambie baba yako wakati huna kitu unadaiwa hadi songesha..
. Ukimsaidia mtu huyu umesaidia taifa
Huo ni utamaduni tu na sio sheria! Mzee wangu mpaka leo anachemshiwa na kupelekewa maji bafuni ya kuoga na sio kuwa ni mlemavu. Yuko strong sana tu!Hapo kwenye kukupelekea maji ya kuoga hivi hiyo sheria IPO kwenye kitabu gani? Hiv kuoga uoge were maji upelekewe ,labda kama unaumwa na umetoka wodini lakini uko mzima mmmh hapana.
But siku hizi imekuwa kama lazima.Huo ni utamaduni tu na sio sheria! Mzee wangu mpaka leo anachemshiwa na kupelekewa maji bafuni ya kuoga na sio kuwa ni mlemavu. Yuko strong sana tu!
Sio lazima wanawake huwa wanafanya haya kama kuonesha kujali wapenzi wao! Ukiamua kutojali ama kuona big deal sana pia unaacha ila ni treat ambayo wanaume wengi wanaipenda!But siku hizi imekuwa kama lazima.
Tafuta pesa,wakati unatafuta ili kulinda family isitengane kuwa robbot usiumeie kwa lolote analokufanyia. Talaka ni pale tu atakapohitaji yeye sababu ikifika hatua iyo usilazimishe Utakuja kufa.Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Mkuu unachukulia 15000 au 20000 kwa siku Ni swalaa la mchezo mchezooo etiiiiiHuo ni mwanzo tu. Kama upo kwenye mji au jiji kubwa,utapata kipato kizuri tu.Ni kazi zisizohitaji mtaji mkubwa wala nguvu.Nimeona umeeleza unafanya shughuli za hapo nyumbani.Basi,hiyo nguvu ndogo waweza kuitumia huku umekaa ukapata wastani wa Tsh.15,000 hadi 20,000 kwa siku.
Kama kuna kitu cha thamani hapo nyumbani uza halafu pesa yote peleka sadaka kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa mzee wetu Gwajiboy halafu baada ya wiki uje hapa utoe ushuda jinsi ulivyofurumushwa home na my wife wako.Yaani kama kusali na sali sn ndugu yangu hadi yale maombi ya usiku wa manane nasali, na kufunga lkn naona msala bado upo upande wng
Vipindi vyangu vya Tv zamani vilikuwa ni eatv, wasafi, dizzim, channel 10+, na trace muzik, yaani mda wote ni mangoma tu lkn sasa hivi naangalia vipindi vya akina mwamposa, suguye, Emmanuel tv, na vipindi vingine vya dini ili niwe karibu na mungu
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
[emoji102][emoji134][emoji134][emoji134]Kama kuna kitu cha thamani hapo nyumbani uza halafu pesa yote peleka sadaka kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa mzee wetu Gwajiboy halafu baada ya wiki uje hapa utoe ushuda jinsi ulivyofurumushwa home na my wife wako.
ona hii mbuzi corporate...yaani umeamua mfuata kabisa jamiiforumHapo kwenye kukupelekea maji ya kuoga hivi hiyo sheria IPO kwenye kitabu gani? Hiv kuoga uoge were maji upelekewe ,labda kama unaumwa na umetoka wodini lakini uko mzima mmmh hapana.
Kama umeolewa pole kwa mume wako, na kama hujaolewa sahau hilo.Hapo kwenye kukupelekea maji ya kuoga hivi hiyo sheria IPO kwenye kitabu gani? Hiv kuoga uoge were maji upelekewe ,labda kama unaumwa na umetoka wodini lakini uko mzima mmmh hapana.
hahahahahaMkuu unachukulia 15000 au 20000 kwa siku Ni swalaa la mchezo mchezooo etiiiii
Point, pesa ndio rafiki number moja kwa mwanaume, kosa hiyo pesa then sikilizia huyo mke aliyekuwa anajinasibu kukupenda vile atakuwa anakufanyia.Taifa lipi hilo ni utapeli tu! Yani mara mia mwanaume awe bread winner ataokoa mke na ukoo wake mzima ila mke hapana kwa kweli!
Wanawake wana kinai haraka sana kutoa misaada yani tena kwa mwanaume wake. Bora hata ndugu zake atalia lia ila anawapa msaada hata kwa hela zako mumewe ila mume ukifulia you are doomed!
Rafiki wa kweli wa mwanaume ni pesa tu. Hatakuacha hata dunia nzima ikikutenga