Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Son, vita haitaisha km utaendelea na lifestyle yako ya sasa ya kukaa nyumbani bila kujishughulisha....

Ushauri
_______

1.Pesa ipo, nyingi , kila sehemu ...unblock your mindset
2. Ajira sio kila kitu, kwa sasa hazipo kabisa, chache zilizopo zinahitaji connection ya hali ya juu sana, probability ya wewe kuzipata kwa haraka ni 0.
3.sijui mkoa uliopo, lakini km upo Daresalaam hama mara moja, fursa zimejifunga kwa 99% hapo..... jaribu Mbeya, Iringa , Mwanza Arusha...au sehemu yoyote wasiokujua" fanya shughuli yoyote ndogo ya kukuingizia kipato kuweza kuishi huku macho yakiwa yanaendelea ku-search fursa kubwa.

Hitimisho
_________
Wanawake ni viumbe visivyotabirika, kwa sasa ameanza kukuona km takataka kwani you don't provide anything to the family...ukiendelea kubaki hapo bila kujishughulisha na shughuli ya maana ya kuleta at least chakula nyumbani .....(kuna bomu kubwa linakuja ) pin those few words on brackets .
 
Point, pesa ndio rafiki number moja kwa mwanaume, kosa hiyo pesa then sikilizia huyo mke aliyekuwa anajinasibu kukupenda vile atakuwa anakufanyia.

Tujitahidi kuzitafuta lakini tuombe Mungu tusipigike maana kuwa bankrupt ni zaidi ya kupata ugonjwa.
Yani magonjwa mawili hatari kwa mwanaume ni ufukara na ukosefu wa nguvu za kukojoza!😎

Ila the most important one to avoid ni kuwa fukara aisee! Get some faces kwa namna yeyote ile sababu ndio rafiki wa kweli!
 
Nimesoma tena “Kuna bomu kubwa linakuja” ni huzuni kwa kweli. Lipo kwenye counter ya sekunde kwa sasa!
 
Tafuta majiko 2, eneo lenye mkusanyiko wa watu, kijiwe cha boda boda au junction yeyote uchome mishikaki na mahindi,

Unaweza kuanza na kimoja kwanza then unafatia kingine,
Elfu kumi kumi hizi kama faida kwa siku ni kitu cha kawaida,
Kwa mwezi laki 3 na zaidi inatosha kabisa kurudisha heshima hapo kwako.


Kama unaogopa dharau kwa majirani endelea kubaki hapo home kama beki tatu.
 
Anaona aibu na pia haamini kama itamlipa hizo issue mkuu
 
Dah kweli mzee hizi huenda zikamtoa
 
We acha tu ndugu yangu tena jana nimeambiwa kifurushi cha azam kinakaribia kuisha hivyo nijiandae kulipia kwakuwa nashinda sn kwenye TV tena nilipie kile cha juu cha elfu35
 
Ushauri wako nauzingatia sema watoto watabaki wanapata tabu
 
Na hela ya kununulia kifurushi cha internet ili huweze kuingia jamii forum si amekununulia yeye, acha majungu kumsemea mbovu mke wako anayekulisha na kukuvisha, inaonekana umekaa kindezi ndezi sana, mtoto wakiume pambana acha ubwege.
 
Umeona eeeh
 
Nalifanyia kazi, nilikuwa Masijala ktk halmashauri moja wapo nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…