Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.

Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.

Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,

Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.

Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.

Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,

Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.

Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.

Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.

Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,

Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,

Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Son, vita haitaisha km utaendelea na lifestyle yako ya sasa ya kukaa nyumbani bila kujishughulisha....

Ushauri
_______

1.Pesa ipo, nyingi , kila sehemu ...unblock your mindset
2. Ajira sio kila kitu, kwa sasa hazipo kabisa, chache zilizopo zinahitaji connection ya hali ya juu sana, probability ya wewe kuzipata kwa haraka ni 0.
3.sijui mkoa uliopo, lakini km upo Daresalaam hama mara moja, fursa zimejifunga kwa 99% hapo..... jaribu Mbeya, Iringa , Mwanza Arusha...au sehemu yoyote wasiokujua" fanya shughuli yoyote ndogo ya kukuingizia kipato kuweza kuishi huku macho yakiwa yanaendelea ku-search fursa kubwa.

Hitimisho
_________
Wanawake ni viumbe visivyotabirika, kwa sasa ameanza kukuona km takataka kwani you don't provide anything to the family...ukiendelea kubaki hapo bila kujishughulisha na shughuli ya maana ya kuleta at least chakula nyumbani .....(kuna bomu kubwa linakuja ) pin those few words on brackets .
 
Point, pesa ndio rafiki number moja kwa mwanaume, kosa hiyo pesa then sikilizia huyo mke aliyekuwa anajinasibu kukupenda vile atakuwa anakufanyia.

Tujitahidi kuzitafuta lakini tuombe Mungu tusipigike maana kuwa bankrupt ni zaidi ya kupata ugonjwa.
Yani magonjwa mawili hatari kwa mwanaume ni ufukara na ukosefu wa nguvu za kukojoza!😎

Ila the most important one to avoid ni kuwa fukara aisee! Get some faces kwa namna yeyote ile sababu ndio rafiki wa kweli!
 
Son, vita haitaisha km utaendelea na lifestyle yako ya sasa ya kukaa nyumbani bila kujishughulisha....

Ushauri
_______

1.Pesa ipo, nyingi , kila sehemu ...unblock your mindset
2. Ajira sio kila kitu, kwa sasa hazipo kabisa, chache zilizopo zinahitaji connection ya hali ya juu sana, probability ya wewe kuzipata kwa haraka ni 0.
3.sijui mkoa uliopo, lakini km upo Daresalaam hama mara moja, fursa zimejifunga kwa 99% hapo..... jaribu Mbeya, Iringa , Mwanza Arusha...au sehemu yoyote wasiokujua" fanya shughuli yoyote ndogo ya kukuingizia kipato kuweza kuishi huku macho yakiwa yanaendelea ku-search fursa kubwa.

Hitimisho
_________
Wanawake ni viumbe visivyotabirika, kwa sasa ameanza kukuona km takataka kwani you don't provide anything to the family...ukiendelea kubaki hapo bila kujishughulisha na shughuli ya maana ya kuleta at least chakula nyumbani .....(kuna bomu kubwa linakuja ) pin those lwords on brackets .
Nimesoma tena “Kuna bomu kubwa linakuja” ni huzuni kwa kweli. Lipo kwenye counter ya sekunde kwa sasa!
 
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.

Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.

Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,

Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.

Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.

Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,

Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.

Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.

Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.

Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,

Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,

Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Tafuta majiko 2, eneo lenye mkusanyiko wa watu, kijiwe cha boda boda au junction yeyote uchome mishikaki na mahindi,

Unaweza kuanza na kimoja kwanza then unafatia kingine,
Elfu kumi kumi hizi kama faida kwa siku ni kitu cha kawaida,
Kwa mwezi laki 3 na zaidi inatosha kabisa kurudisha heshima hapo kwako.

Kama unaogopa dharau kwa majirani endelea kubaki hapo home kama beki tatu.
 
Anaona aibu na pia haamini kama itamlipa hizo issue mkuu
 
Tafuta majiko 2, eneo lenye mkusanyiko wa watu, kijiwe cha boda boda au junction yeyote uchome mishikaki na mahindi,

Unaweza kuanza na kimoja kwanza then unafatia kingine,
Elfu kumi kumi hizi kama faida kwa siku ni kitu cha kawaida,
Kwa mwezi laki 3 na zaidi inatosha kabisa kurudisha heshima hapo kwako.

Kama unaogopa dharau kwa majirani endelea kubaki hapo home kama beki tatu.
Dah kweli mzee hizi huenda zikamtoa
 
Dah ila haya maisha bana, tucheke sana ila mzee kufulia kubaya sana yani! Uwe ghafla huna kitu halafu unamiliki mke mara bills umezishindwa kuzilipa aisee ni balaa na nusu! Yani friji lilikuwa linajaa mamisosi panya na mende hawakauki mjengoni ghafla wamehama nyumba inafikia stage una struggle kuweka chakula mezani mnaanza kula michicha na tembele wakati ilikuwa mwendo wa kuku, samaki na nyama!

Yani msione vizee vinakomaa maofisini hata kwa ndumba asikudanganye mtu kuendesha familia kwa hela ya kubahatisha bahatisha mtaani sio swala la masihara kmmmk! Leo una hela kesho huna yani dah...Hela za ghafla zile ukitekenya ef 50 ya haraka huna[emoji41]
We acha tu ndugu yangu tena jana nimeambiwa kifurushi cha azam kinakaribia kuisha hivyo nijiandae kulipia kwakuwa nashinda sn kwenye TV tena nilipie kile cha juu cha elfu35
 
MkUu nikupe pole ila kwa maoni yangu mi naona we sepa zako hapo usiendelee kudhalilika yani! Sepa kaparangane na life kimpango wako tena kimya kimya wala usiage we ondoka zako tu sababu hata ukiaga haina maana tena ndio mke atafurahia umempa nafasi awe anakuja kujivinjari na hawara wake mjengoni kwako hapo!

Mwanamke akiwa na kipato wewe huna lazma akuvimbie yani. Mngekuwa wote level za ku struggle yeye mama wa nyumbani akaanza hata ka mama ntilie au kuuza kaduka kenu walau heshima ingekuwepo!

Hapo we sepa kajipiganie kiume tu hamna jinsi yani la sivyo stage inayofuata ataanza kukuingizia mabwana ndani humo!
Ushauri wako nauzingatia sema watoto watabaki wanapata tabu
 
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.

Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.

Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,

Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.

Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.

Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,

Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.

Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.

Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.

Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,

Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,

Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Na hela ya kununulia kifurushi cha internet ili huweze kuingia jamii forum si amekununulia yeye, acha majungu kumsemea mbovu mke wako anayekulisha na kukuvisha, inaonekana umekaa kindezi ndezi sana, mtoto wakiume pambana acha ubwege.
 
Huo ni utamaduni tu na sio sheria! Mzee wangu mpaka leo anachemshiwa na kupelekewa maji bafuni ya kuoga na sio kuwa ni mlemavu. Yuko strong sana tu!

Ukishaanza kuona kum treat vizuri mume ni kama unamfanyia favor jua huna mapenzi nae tena. Sababu hamna viumbe wenye adabu kama mwanamke aliyependa kwa dhati ukicheki tu wakati mnaanza ulifanya vyote hata kutoa tigo mpo radhi mtoe tu bila kulalamika ili kudhihirisha ulivyodata nae ila baadae mnabadilikaga mapenzi yakiisha ndio kuanza kuona kama unamfaidisha flani mwanaume kwa kum treat vizuri!
Umeona eeeh
 
Ulikuwa unafanya shughuli gani mwanzo?Au uko na profession gani?
Then ukitaka heshima kwa mkeo usijibweteke tu,hangaika toka hapo nyumbani usiwahi kurudi kabla ya mkeo,yeye ndie umkute nyumbani hata kama hutatudi na kitu lakini chelewa kurudi kabla yake
Nalifanyia kazi, nilikuwa Masijala ktk halmashauri moja wapo nchini
 
Back
Top Bottom