Watoto ni wenu na mwanamke wako hawezi kuwa na tatizo na watoto hao sababu anajimudu! Atawalea vizuri tu wala usiwe na hofu.Ushauri wako nauzingatia sema watoto watabaki wanapata tabu
Thank uTafuta pesa,wakati unatafuta ili kulinda family isitengane kuwa robbot usiumeie kwa lolote analokufanyia. Talaka ni pale tu atakapohitaji yeye sababu ikifika hatua iyo usilazimishe Utakuja kufa.
Dah, hunitakii mema wwKama kuna kitu cha thamani hapo nyumbani uza halafu pesa yote peleka sadaka kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa mzee wetu Gwajiboy halafu baada ya wiki uje hapa utoe ushuda jinsi ulivyofurumushwa home na my wife wako.
Atakuwa yy tu naye ni memba humu sema alibadili id na siku hizi hataki nishike simu yakeona hii mbuzi corporate...yaani umeamua mfuata kabisa jamiiforum
Yaani napitia kipindi kigumu snPoint, pesa ndio rafiki number moja kwa mwanaume, kosa hiyo pesa then sikilizia huyo mke aliyekuwa anajinasibu kukupenda vile atakuwa anakufanyia.
Tujitahidi kuzitafuta lakini tuombe Mungu tusipigike maana kuwa bankrupt ni zaidi ya kupata ugonjwa.
Hamna mkuu ni katika harakati tu za kurudisha mambo yakae sawa.Dah, hunitakii mema ww
Nitaufanyia kazi ushauri ndugu yanguSon, vita haitaisha km utaendelea na lifestyle yako ya sasa ya kukaa nyumbani bila kujishughulisha....
Ushauri
_______
1.Pesa ipo, nyingi , kila sehemu ...unblock your mindset
2. Ajira sio kila kitu, kwa sasa hazipo kabisa, chache zilizopo zinahitaji connection ya hali ya juu sana, probability ya wewe kuzipata kwa haraka ni 0.
3.sijui mkoa uliopo, lakini km upo Daresalaam hama mara moja, fursa zimejifunga kwa 99% hapo..... jaribu Mbeya, Iringa , Mwanza Arusha...au sehemu yoyote wasiokujua" fanya shughuli yoyote ndogo ya kukuingizia kipato kuweza kuishi huku macho yakiwa yanaendelea ku-search fursa kubwa.
Hitimisho
_________
Wanawake ni viumbe visivyotabirika, kwa sasa ameanza kukuona km takataka kwani you don't provide anything to the family...ukiendelea kubaki hapo bila kujishughulisha na shughuli ya maana ya kuleta at least chakula nyumbani .....(kuna bomu kubwa linakuja ) pin those few words on brackets .
Sa kosa langu kukaa sebleni ndugu, kwa hiyo ulitaka akija anikute choonikwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]and yet unajihesabu ni kidume.
So umeuza uanaume wako kwa kuhofia Ukizengua tu..UNAACHWA [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli waache uhuni, huku mikoani kila mtu anachakarika labda huko Dar.Hii statement ya kuwaambia watu watafute pesa imekuwa too much humu jamvini. Kwani nani hatafuti pesa hadi aambiwe kuwa tafuta pesa? Muache huu uhuni.
Si muda mrefu utaletewa zawafi ya VVU endelea kumpenda tu.Kwahiyo unataka kusema visa vitaongezeka zaidi ya hapa as long as sina mkwanja, ila jua hii sio chai ni kweli nayapitia, tena kuna siku alirudi usiku sana alidai kuwa alikuwa kwenye kikao cha harusi lkn hakuniaga kama alikwenda kwenye kikao cha harusi,
Alirudi mida mibaya ikanibidi nimsubirie kumfungulia mlango, yy sio mnywaji wa pombe lkn niliskia harufu ya pombe kutoka kinywa chake, nilipojaribu kuhoji hakunijbu alijitupa tu kitandani na kwanza kukoroma
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa ushauriTafuta majiko 2, eneo lenye mkusanyiko wa watu, kijiwe cha boda boda au junction yeyote uchome mishikaki na mahindi,
Unaweza kuanza na kimoja kwanza then unafatia kingine,
Elfu kumi kumi hizi kama faida kwa siku ni kitu cha kawaida,
Kwa mwezi laki 3 na zaidi inatosha kabisa kurudisha heshima hapo kwako.
Kama unaogopa dharau kwa majirani endelea kubaki hapo home kama beki tatu.
Tena anaogopa wale aliokuwa anafnya nao kazi watamcheka utadhani wanamsaidia.Anaona aibu na pia haamini kama itamlipa hizo issue mkuu
Tuma namba yako hapa tukuchangie pesa ya king'amuzi cha Azam. Ustaadh Othman tupo pamoja. Takbiiir!Nalifanyia kazi, nilikuwa Masijala ktk halmashauri moja wapo nchini
Sioni aibu sema tu umeamua kunifikiria hivyoAnaona aibu na pia haamini kama itamlipa hizo issue mkuu
Tabu ipi wakati huna mchango?Ushauri wako nauzingatia sema watoto watabaki wanapata tabu
Hela ya bando hawezi kunipa yy huwa sometimes najishughulisha hapa na pale lkn nachopata ni kidogo kulinganisha na chake na ndio hela ya bando napatia hukoNa hela ya kununulia kifurushi cha internet ili huweze kuingia jamii forum si amekununulia yeye, acha majungu kumsemea mbovu mke wako anayekulisha na kukuvisha, inaonekana umekaa kindezi ndezi sana, mtoto wakiume pambana acha ubwege.
Kama nilivyosema hatuna bek3 na yy anashinda job ana ni treat as if me ndio bek3 wakeWatoto ni wenu na mwanamke wako hawezi kuwa na tatizo na watoto hao sababu anajimudu! Atawalea vizuri tu wala usiwe na hofu.
Ana tatizo na wewe unaekula hela yake tu kama mtoto mdogo bila kujali kuwa wakati una kazi uliweza simamia majukumu yako vizuri tu. Yani anaumia wewe kutumia hela yake tu hilo ndio analomaindisha.