Son, vita haitaisha km utaendelea na lifestyle yako ya sasa ya kukaa nyumbani bila kujishughulisha....
Ushauri
_______
1.Pesa ipo, nyingi , kila sehemu ...unblock your mindset
2. Ajira sio kila kitu, kwa sasa hazipo kabisa, chache zilizopo zinahitaji connection ya hali ya juu sana, probability ya wewe kuzipata kwa haraka ni 0.
3.sijui mkoa uliopo, lakini km upo Daresalaam hama mara moja, fursa zimejifunga kwa 99% hapo..... jaribu Mbeya, Iringa , Mwanza Arusha...au sehemu yoyote wasiokujua" fanya shughuli yoyote ndogo ya kukuingizia kipato kuweza kuishi huku macho yakiwa yanaendelea ku-search fursa kubwa.
Hitimisho
_________
Wanawake ni viumbe visivyotabirika, kwa sasa ameanza kukuona km takataka kwani you don't provide anything to the family...ukiendelea kubaki hapo bila kujishughulisha na shughuli ya maana ya kuleta at least chakula nyumbani .....(kuna bomu kubwa linakuja ) pin those few words on brackets .