Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Nimeagwa kwamba wik ijayo atakuwa na safari ya kikazi anaenda dar - es salaam na atakuwa huko kwa wikimbili hivyo nijiandae kubaki na familia

Sasa sijui ni kweli ni safari ya kikazi hapo au kuna mbwiga anataka akamege tunda langu, arrgghhhh, kmmmk ukweli pesa mwanaharamu kidume nachezewa akili yangu.

Na kimsingi siwezi kumzuia inawezekana ni kweli safari ya kikazi au pia isiwe kweli ni ujanja tu anafanya ili akale starehe zake

Eeeh mungu niepushe na hili balaa nisijekuchukua maamuzi magumu
Sambukile sambamba Usimuonee wivu mkeo wakati pesa huna. [emoji1][emoji1]
 
Kwanini unamsema? Me numemuelewa kuwa baada ya kuachishwa kazi akaendelea kupambana kadiri ya uwezo wake, lkn mambo bado hayajakaa sawa.. Sijaona kama amekaa tu na kumbweteka "mbweta"😊😊😊
mkuu hapo najaribu kumuepusha na mabalaa atakufa kabla ya wakati na hao watoto anaosema anaona huruma kuwaacha hatowaona tena.
1.mkewe ataanza kuwa na mahusiano na wanaume wengine
2.ili ajiachie na hao manjemba kuna siku atamuwekea hata sumu kwenye msosi ili huyu ndugu yetu afe akili kichwani mwake hapo
3.kujikwaa sio kuanguka akaanze moja hata huko kijijini kwao biblia inatufunza siku ya kuanza kuwa maisha magumu eva alianza kazi ya kulisha familia ambayo haimuhusu alimpa tunda adamu
 
Nimeagwa kwamba wik ijayo atakuwa na safari ya kikazi anaenda dar - es salaam na atakuwa huko kwa wikimbili hivyo nijiandae kubaki na familia

Sasa sijui ni kweli ni safari ya kikazi hapo au kuna mbwiga anataka akamege tunda langu, arrgghhhh, kmmmk ukweli pesa mwanaharamu kidume nachezewa akili yangu.

Na kimsingi siwezi kumzuia inawezekana ni kweli safari ya kikazi au pia isiwe kweli ni ujanja tu anafanya ili akale starehe zake

Eeeh mungu niepushe na hili balaa nisijekuchukua maamuzi magumu
Kaza roho upotezee tu maana ukiwaza mengi utapata madhara ya kiafya na unaweza kuvuruga malezi ya watoto wako.

Kama una hofu atakuletea maradhi basi usiombe mbususu, muishi pamoja bila mambo flani. Kila mtu anaenda kustua mashine uchochoro wake .
Au kula mbususu kwa mpira a.k.a ndomu.
 
We jamaa fanya mpango uhame hapo uende mkoa mwingine hata kwa washkaji zako ukapige kazi yoyote itakayokuingizia pesa. Ukipata pesa zigawe, zingine fanya matumizi yako zingine mtumie. Believe me, ukiweza kumtumia pesa hata kama ni kidogo na hazina msaada mkubwa lazima ataanza kukuheshimu. Achana na mawazo ya kugongewa kwa sasa kwani huwezi kuzuia kama ana tabia hizo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
point.
 
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kama pesa huna hata ukikaa hapo watoto watateseka kwa juwa huna mchango kwenye ulezi.

Safiri uende mji wa mbali ukatafute na ukipata mtumie mpk utoboe. Ukiendelea kukaa hapo utaletewa mpk mume mwenzio ndani
 
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.

Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.

Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,

Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.

Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.

Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,

Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.

Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.

Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.

Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,

Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,

Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.

Ondoka home, katafute maisha huko mbali, mke wako hana shida, Hakuna mwanamke anayeweza mvumilia mwanaume kwa miaka kadhaa, Hata Mama yako ni mzuri kwako kwa Baba yako Hewa.
 
Tatizo huwa sio mke, tatizo ni pale atakapoacha kukusikiliza aanze kusikiliza wapambe ndugu jamaa na marafiki.

Ukifanikiwa kumfanya akusikilize wewe na ukakata network zote utajikuta unarudi relini.

Jitahidi basi Hata kubeba zege mkuu maana Kuna raha kuhudumia mke. Hata matatizo ya dunia yalianza siku Eva alipomletea Adam chakula

Wewe nawe mjinga kweli, unakataje network bila access to server? Huyu hana hela, kukata network Labda amuue.
 
Sasa niende wp ndugu sio rahisi tu kusema ondoka hapo na hujui pa kuelekea,

Embu vaa viatu vyangu nigger
Utajua pa kwenda ukisha toka hapo,unataka kuniambia hapo ulipo ndo ulipozaliwa? Take risk nenda hata maporini kachome mkaa na wapambanaji huko nenda hata migodini huko ndo utapata akili na fursa mpya.
 
Wewe nawe mjinga kweli, unakataje network bila access to server? Huyu hana hela, kukata network Labda amuue.
Network ya mkewe na wanaomchochea yaani ndugu jamaa na marafiki.
Wanawake wengi hawawezi kujisimamia na huwa wanasikiliza maneno ya watu bila kupima.

Hata Ibrahim aliwahi kufirisika hadi akaenda kudoea chakula lakini ndoa ilidumu kwa sababu sara hakuwa na ukoo karibu unaomcontrol
 
Ushauri wako nauzingatia sema watoto watabaki wanapata tabu
hapa napo unazingua....huoni kama wewe kukaa kama beki 3 ndo unazidi mchosha mama kwa kuhudumia dead meat za kutosha..ushauri toka hama hata mji katafute upya..Hivi kama mke angekua amefariki halafu una watoto wanalia njaa bado ungekua unalia lia hivi jaribu hata saidia fundi au watafute wadau..kwani hukaagi vijiweni na wenye mji...all in all pole na chakarika kamanda
 
Network ya mkewe na wanaomchochea yaani ndugu jamaa na marafiki.
Wanawake wengi hawawezi kujisimamia na huwa wanasikiliza maneno ya watu bila kupima.

Hata Ibrahim aliwahi kufirisika hadi akaenda kudoea chakula lakini ndoa ilidumu kwa sababu sara hakuwa na ukoo karibu unaomcontrol

Mwanamke hawezi kukusikiliza bila bargaining power
 
Nimefuatilia ushauri mzuri unaotolewa na watu na majibu ya mtoa mada. Nimegundua stori yake si ya kweli. Ingawa ina mafunzo ndani yake ila si ya kweli ametunga tu na ni mtu mwenye upeo mdogo sana hawezi kusoma mindset za watoa ushauri na kwenda nao sawa.

Ni akili kubwa tu ndio watanielewa
 
Weka na taalima yako hapa huenda ukapata ramani.
Ulitumbuliwa utawala wa JPM ilikuwa unatumia cheti cha marehemu au?
Jiamini yote yatapita na utaendelea kuichakata mbususu ya mkeo 24/7.
 
Back
Top Bottom