Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Nilikuwaga nachanganya tester na screw driver, matokeo yake nikawa natumia tester kwenye kazi za screw driver, hapo nimekuelewa, ngoja nitafute screw driver.
 
Kakazangu na mimi wa ghetto chumba kimoja bisibis nyundo na vifaa vyote kunamtu kasema na ngazi Bado kunakitanda jiko mkaa ndoonza maji 😂😂😂kutakuwa karakana 😂😂😂😂
 
ndo mpango mzima wa mtoa mada na anataka wote tuonekane mafundi
[
Hapo ongeza potable grinder, first AID kit na mkuki.
Hizo zote ninazo kasoro wheelbarrow/toroli.
Mkuki dah ngoja ni add kwenye list ya vifaa vyangu, watu wanafikiri hivi vifaa tunanunua siku moja hapana, mimi kifaa changu kwanza kununua ilikuwa pliers (koleo) mwaka 2013 wakati naanza maisha mpka leo nina toobox kubwa kama kabati, nanunua kimoja kimoja kutokana na changamoto nanyokutana nayo kila siku
 
Kakazangu na mimi wa ghetto chumba kimoja bisibis nyundo na vifaa vyote kunamtu kasema na ngazi Bado kunakitanda jiko mkaa ndoonza maji 😂😂😂kutakuwa karakana 😂😂😂😂
Inategemea na mazingira yako, sasa siku unahama nani aje afungue kitanda chako? Hata chaga ikitoa msumari unakula godoro utamuita fundi?
 
Wewe sasa ni a DIY enthusiast, hii kitu wacha niitafute, nimefunga dishi home mara nyingi kwa manually sat finder kwa try and error

Ndani ya mwezi nimeita mafundi kuseti dish la dstv nikaona wanazingua ikabidi niitafute hiyo kitu,mkuu imenisaidia sana
 
Back
Top Bottom