Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Nilikuwaga nachanganya tester na screw driver, matokeo yake nikawa natumia tester kwenye kazi za screw driver, hapo nimekuelewa, ngoja nitafute screw driver.
 
Kakazangu na mimi wa ghetto chumba kimoja bisibis nyundo na vifaa vyote kunamtu kasema na ngazi Bado kunakitanda jiko mkaa ndoonza maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kutakuwa karakana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kakazangu na mimi wa ghetto chumba kimoja bisibis nyundo na vifaa vyote kunamtu kasema na ngazi Bado kunakitanda jiko mkaa ndoonza maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kutakuwa karakana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inategemea na mazingira yako, sasa siku unahama nani aje afungue kitanda chako? Hata chaga ikitoa msumari unakula godoro utamuita fundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…