Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama.

Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao.
Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao.

Hivyo ili kuyaishi maisha marefu na kuikimbia Jehanamu yawapasa wanaume kuacha kabisa habari na fikra za kuoa.

Ikimbie Jehanamu achana na kitu kuoa.

Ni hayo tu kwa uchache.

Wadiz
 
Hao wazazi ambao hawajakufunza, wao wanakuwa waliowana au hawakuowana..!!?
 
Natamani wanawake wote waweke msimamo madhubuti kuwa:-

"HAKUNA NDOA HAKUNA MBUSUSU"

halafu tuone kama akina #Kataa Ndoa hamtapoteana
Unaishi dunia gani mkuu, huelewi pia kama kuna wanawake ambao ambao hawataki kabisa kusikia neno NDOA????

Kwahiyo unazani kila mwanamke anawish kuingia kwenye ndoa mkuu???
 
Wanawake wasiotaka ndoa (kama wapo) ni wachache mno. Na ndiyo wale ambao hupenda waingie kwanza ndoani, baadaye wanazusha migogoro ili watoke
 
Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama.

Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao.
Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao.

Hivyo ili kuyaishi maisha marefu na kuikimbia Jehanamu yawapasa wanaume kuacha kabisa habari na fikra za kuoa.

Ikimbie Jehanamu achana na kitu kuoa.

Ni hayo tu kwa uchache.

Wadiz
Mwanaume Kataa ndoa ili na wewe ukaolewe.........make it this way.
 
Wanawake wasiotaka ndoa (kama wapo) ni wachache mno. Na ndiyo wale ambao hupenda waingie kwanza ndoani, baadaye wanazusha migogoro ili 𝘄𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲
𝗛𝗶𝗶 𝗵𝗮𝗶𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗯𝗮𝗯𝘂 𝗸𝘂𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗼𝘁𝗲 𝗺𝗸𝘂𝘂, 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗮𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘄𝗮𝗽𝗼,, 𝗮𝗻𝗱 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘂𝘁𝗮𝗸𝗮𝗮 𝗻𝗮𝗼 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮𝗵𝗼𝗷𝗶, 𝗿𝗲𝗮𝘀𝗼𝗻𝘀 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘇𝗼𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗶𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗮 𝗵𝗮𝘂𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗻𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝗼.
 
Back
Top Bottom