Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama.

Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao.
Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao.

Hivyo ili kuyaishi maisha marefu na kuikimbia Jehanamu yawapasa wanaume kuacha kabisa habari na fikra za kuoa.

Ikimbie Jehanamu achana na kitu kuoa.

Ni hayo tu kwa uchache.

Wadiz
UKO SAHIHI SANA
 
Kataa ndoa ukapigwe na wanaume wenzako.
𝗞𝗮𝗺𝗮 𝗻𝗱𝗼 𝗵𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼, 𝗻𝗶𝗯𝗶𝘀𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶???

𝗨𝗻𝗮𝗼 𝘂𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗰𝗵𝗼𝗰𝗵𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗵𝗶𝘃𝘆𝗼......NDOA NI AINA YA MAUAJI YA KIMWILI, KIROHO NA KIUCHUMI YALIYO HALALISHWA NA KIKUNDI FULANI CHA WAHUNI.......

KATAA NDOA.
 
Sio shida ila baba yako na mama yako wangekuta mada zako kabla ujawa kwenye sehemu zao za siri leo usingekuwepo au kufika ulipo
Akili za ngedere hizo watoto hawana kigezo cha kuwa zao la kuoa, watoto wanapatikana sana ukiwa single kuliko huko Jehanamu kwenu
 
"Kataa kuoa uoelewe wewe"! Is it so?
 
Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama.

Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao.
Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao.

Hivyo ili kuyaishi maisha marefu na kuikimbia Jehanamu yawapasa wanaume kuacha kabisa habari na fikra za kuoa.

Ikimbie Jehanamu achana na kitu kuoa.

Ni hayo tu kwa uchache.

Wadiz
Kiama ndio nini shehe..?

Na Jehanamu ndio kidude gani ?
 
Hizo ni Nyakati mbili tofauti, enzi za wazazi wetu kauli mbiu ilikuwa FUNGA NDOA EPUKA AIBU (Enzi zao vijana walikuwa na heshima, hakuna tamaa za kujinga - Usaliti)

Nyakati za kizazi hiki ni KATAA NDOA KATAA UTAPELI (Ubabe, Ujeuri, usaliti, ujuaji n.k)
Hakika mkuu saa hii hakuna trust na patience. Ni Bora kuish na mwanamke ila sio kumuoa
 
Kwa mtu ambaye umefanikiwa sana.. umejitafuta ukajipata umewekeza miradi furani una mjengo ndinga ya maana kuoa kwako inatakiwa ume makini ubaweza kuona ndani ya mwaka watu tukaimba twonane milele.wanawake wamekua hatari sana.
 
Kataa ndoa wa humu wote wana ndoa wameoaa sasa jichanganye
 
Back
Top Bottom