Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Ili ujue watu wanapenda kudanganya umri nenda badoo, unajuta limwanamke linaonekana kabisa sura liko 40 eti kaandika yuko 30 au 32 mwingine hata 29. mimi huwa sina msalia mtume nao..
 
Hata huku pia ni mtaani tu!!

Nyie ndio bado mna akili za kwamba soko ni Kariakoo.

Mwinyi: kila kitu ruksa.
 
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!

Dear I do agree...Jibu nzuri. Thanks..
 
Mmmmhhhhmm .. Subiri aliyenichumbia aje kujibu kwa maana I think inamuhusu yeye....Thanks..
 

1.Tuna sifa zote ndio maana hata ukikutana na huyo wa mtandaoni anakukubali,hata nao wana vigezo vyao hawakubali kila MTU.
2.Busy Sana,wengine tumejiwekea marufuku ya kudate kazini au mtaani.
3.Wengine tunapoishi unapishana na magari tu 80% yana vioo tinted hivyo ni ngumu kugongana na wanawake barabarani.
4.Jibu lipo namba 2 na 3
5.Sio udomo zege kwasababu hata wa mtandaoni ukikutana nae inabidi uongee,tena points coz u have only one shot!

Mapenzi popote hawa wa mtandaoni ndio hao hao wako mtaani au unafikiri wanatoka Mars?!
 
Akitumia id ya siku zote atakosa mke

Muwe mnawajibu vizuri hawa watu huko PM teh teh...

Msiwe mnaangalia Join date ndio mnatoa attention, sio fair hivo hahaha

Si mnaona sasa kaamua kufunguka kwa hasira..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…