Sasa hapa mi ndo sielewi....unaanzishaje mahusiano na anonymous? Huogopi kuopoa garasa?
Sioni tofauti rafiki, tatizo lako naona sio kupata mpenzi kupitia mtandao..tatizo ni kutangazia umma kuwaunatafuta mchumba.Hata mkidinyana baada ya miaka miwili kudinyana ni kudinyana tu. Ukibandika tangazo ina maana tangu mwanzo wa kufahamiana kitu kinachokuwepo ni mapenzi tofauti na ile ya kuanza na urafiki....mapenzi yanakua taratibu. Na hii ya mtu kuibuka na kusema 'natafuta' binafsi siikubali sana maana waweza kuopoa garasa ukaacha anaekufaa maana hapo kila mtu ni full kupretend....mapenzi mazuri ni yale yanayokua taratibu....mtu unamjua kidogo ABC zake kabla hujatamka mapenzi...
thanx for your post !coz imetulia!! mm binafsi ni kwa sababu ninakoishi, female wengi ama wameolewa au wamazalishwa! that's all!!Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
Sioni tofauti rafiki, tatizo lako naona sio kupata mpenzi kupitia mtandao..tatizo ni kutangazia umma kuwaunatafuta mchumba.
Either way haina tofauti, binafsi Kama nitaanza kuchat na wewe Kama online pen pal, bila kurusha tangazo tayari Kuna kitu kimejengeka akilini kuwa, yeah I must go for this chick. Haina tofauti na ile ya kurusha tangazo coz mwisho wa siku inategemea na jinsi process nzima ya kufahamiana na kujenga urafiki itakavyoenda.
First off, baada ya kukutana sidhani mtaanza kuongea mapenzi, you start by being friends, ule urafiki unajengeka taratibu na kama mko serious, lazma mtaona mwisho mzuri.
Ukiwapanga wanawake kumi, halafu umchukua mwanaume mmoja halafu ukamwambia awaingilie kila siku mmoja mpaka waishe wote na ukimchu mwanamke umpeleke mbele ya wanaume kumi, halafu umwambie aingiliwe na wanaume wote kumi kila siku mmoja hadi waishe. Je kati ya mwanamke na mwanaume unafikiri nani atakubali? Jibu la hili swali ndiyo sababu ya sisi wanaume kusaka papuchi popote iwezekanavyo.
We ni wa kikeni au vipi? Una miaka mingapi, wewe na wenzako wangapi mmetongozwa kupitia humu. Unafikiri kwa uelewa wako kutongoza kuna kanuni? kweli division five zitatusumbua sana humu.
Muda unakosa wa kuwafuatilia huko wanakoishi? Kwa hiyo wa mtandaoni muda upo?