Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

nipo dar mabibo ni wapi nitaupata kwa urahisi na kwa gharama gani?!

Samahani sana kwa kuchelewa kukujibu.

Unaeza mpigia simu Jack- 0714893685

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.

Gharama za usafiri zitalipiwa na mteja.

Au unaweza kuupata kwetu, Sinza kwa Remmy 0769302206
 
Napenda kuwajulisha ndugu zangu wote wanaopitia kwenye tovuti hii ya Jamii Forums, kuwa:

Wale wenye matatizo ya ngozi aina zote, vidonda sugu, gas, ulcers, chunusi, vidonda ndugu, fungus na hawana uwezo wa kulipia, ninawaomba waje wachukuwe bure hii tiba yetu mbadala bila kulipia hata senti moja.

Hii ni tiba mbadala pekee ambayo ukinunua na kukusaidia basi umelipia na tiba kwa wengine wasio na uwezo wa kununua.
 

Aunt Zai em taja muda basi,usinifanye mi kesho nipigie mswaki kwako!
 
Aunt Zainab hata simu hupokei ni shida tu. Nipe gharama za utumaji otherwise nimuagize my workmate anitumie kwa courier wa ofisi yao.... Zainab Tamim
 
Last edited by a moderator:
Aunt Zainab hata simu hupokei ni shida tu. Nipe gharama za utumaji otherwise nimuagize my workmate anitumie kwa courier wa ofisi yao.... Zainab Tamim

Nisamehe sana, labda umepiga wakati wa kusali.

Ukinikosa tafadhali mpigie mume wangu 0756803528.

Ulikuwa unataka kutumiwa wapi? mkebe mmoja ni 3,500/ tu na usafiri unalipia wewe mwenyewe, sisi tunakupelekea mpaka stand ya mabasi kwa wale wa mikoa ambayo hawaupati.
 

Niko Mwanza, wakala wenu wa huku mama Alex ameniambia kaishiwa kwa hiyo niagize huko kwako. Kama kuna wakala mwingine Mwanza nipatie mawasiliano yake. Zainab Tamim
 
Last edited by a moderator:
Zainab Tamim
ninakuja kuchukua mambo yaliingiliana naomba uongeze ile no ya voda tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Zainab Tamim Udongo umenifikia salama kwa wateja wa Mwanza wanaweza kuwasiliana nami kwa namba 0763772636 ninapatikana maeneo ya Bwiru ila alinipigia popote nitakuletea
 
Zainab Tamim Udongo umenifikia salama kwa wateja wa Mwanza wanaweza kuwasiliana nami kwa namba 0763772636 ninapatikana maeneo ya Bwiru ila alinipigia popote nitakuletea

OK Asante nitawajulisha wateja wa Mwanza.
 


Shangazi, naomba unielekeze naman ya kutumia ili kuondoa upara.
 
Shangazi, naomba unielekeze naman ya kutumia ili kuondoa upara.

Namna ya kuutumia ni hivyo hivyo iwe unaupaka kichwani au mwilini:

Unachukuwa hii Aunt Zainab's Natural Super Clay kiasi ya kijiko kimoja cha chakula, unachanganya na maji iwe nzito nzito kama ugali laini au uji mzito, unapaka kichwa chote wakati upo nyumbani na ukikauka unaweza kulala nao asubuhi ukaoga kama kawaida. Ukikauka hauchafui nguo wala mashuka ya kitanda.
 
naitaji kuwa wakala wako serengeti

Kariibu sana, unanunua dozen 3 kwa bei ya mawakala na ukitaka tukusafirishie unalipia gharama za kuusafirisha kwa basi hapo ulipo. Hakuna sharti zaidi na unaweza kuwasiliana nami kwa namba zangu zipo hapo post namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…