Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #41
Dada Zainab, ahsante sana, nimetumia product yako, ni nzuri sana. Na elewa kuwa umepata mteja wa kudumu.
Mikebe yako unayofungia ni mizuri sana, ungetuwekea na hivyo vijiko kama kwenye picha ingekuwa raha sana.
Ma sha Allah. Umeweza mama. Keep it up.
Kwa sasa upo Sinza kwa Remy pale Loliondo uliza Mwajuma wa Loya, atakupatia. Kariakoo unapatikana Saloon ya Bi Saira mtaa wa Nyamwezi na Twiga.
Lakini tunajitahidi kupata mawakala kila sehemu, na ikiwa utalipia gharama za usafiri tutakuletea popote ulipo.
Piga simu 0769302206
Nimemtuma mtu huo udongo ulipo elekeza k/koo lkn kaambiwa hakuna huo udongo na pia ameonyeshwa udongo mwingine.
Samahani naomba piga simu 0769302206 labda kaenda pengine au kamkuta mtu asiyejuwa kuhusu huu udongo si unajuwa ma saloon yetu.
Sawa, ila amefika kwa bi Saira saloon lkn ndivyo ilivyokua
weka no ya tigo tuongee biasharaTunatafuta sales person wa kuuza Natural Super Clay.
Ukitaka kujuwa Natural Super Clay ni nini, pitia hapa: Kwa Wanaume na Wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Sales Person atakuwa kajiajiri, mjasiriamali. Tutampa bidhaa kwa bei ya jumla, yeye atauza kwa bei ya reja reja na faida ni yake.
Kwa wale ambao hawatakuwa na kianzio, tutawapa mtaji.
Picha mbili, barua ya Serikali ya mtaa na wadhamini wawili kwa watakaohitaji mtaji.
Hatuajiri kwa mshahara tunahitaji vijana wanaoweza kujituma na kujianzishia ajira yao wenyewe.
Awe na uwezo wa kujifunza Natural Super Clay inavyotumika na kuweza kufanya majaribio kwa vitendo.
Piga 0756803528, 0769302206, whatsup 0689771331 au tuma email: zainabtamimtz@gmail.com au tuma pm hapa hapa JF.
Unaweza kutuuliza chochote hapa hapa. Karibuni.
Tunawatakia mafanikio mema.
Asante.
zainabu naomba kuupata huo udongo mwezi ujao kwa bei ya jumla
weka no ya tigo tuongee biashara
Kwanini ukipigiwa hupokei? Inaonekana una kiburi sana.na ukikuta mis call hujibuWazo zuri, nitajiandikisha na line ya tigo kwa leo sina. Unaweza ni beep nitakupigia kwa leo.
Asante
Zainab
Kwanini ukipigiwa hupokei? Inaonekana una kiburi sana.na ukikuta mis call hujibu
Kwanini ukipigiwa hupokei? Inaonekana una kiburi sana.na ukikuta mis call hujibu
Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Dah! Nimecheka sana.