Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #101
wa mikoani tukihitaji tunaupata ndanii ya muda gani na kama tunanunua kwa matumizi binafs tuanzae kununua kuanzia pakti ngapi?
Mbona kuna mtu nimemtuma kwa ajili ya gf mmemuuzia kwa tshs.5000 (Twiga/Nyamwezi).
Kwanza asante sana kwa kutujulisha, tutalifanyia kazi na ninakuhakikishia tutatatua, naomba nipigie 0769302206.
Twiga / Nyamwezi ni msambazaji anaenunuwa kwetu ana gharama za usafirishaji na faida yake lakini tutaongea nae washushe bei, (recommended retail price kwa wasambazaji tumewaomba isizidi 3,500 PP, kwa sasa unaweza kununuwa kutoka kwetu direct kwa bei ya promotion ya TZS 2,000 kwa packet.
Samahani sana kwa usumbufu. Wasambazaji ambao watauza zaidi ya RRP tuliokubaliana nao ya 3,500 tutawasimamisha usambazaji.
Naomba pitia posti namba 97 mstari wa chini kabisa.
Asante
Zainab
Leo nimepokea ujumbe ufatao kutoka kwa mmoja wa wateja wetu wa Zainab's Natural Super Clay kwa sababu za maadili sitoweza mtaja ni nani lakini ujumbe wake alionitumia ni muhimu sana na umenipa faraja kubwa sana:
"Habari ya asubuhi
Nilitaka kukujulisha kwamba nimefurahishwa sana na ule udongo
Uso wangu una matatizo mengi sana. Lakini Nimeona tofauti kubwa na nimetumia mara moja tu.
Kule kufubaa kumepungua na potes imekuwa ndogo pia"
Huo ujumbe nimeuandika kama ulivyo sijaongeza langu.
Namuombea mafanikio mema.
Asante
Zainab
Hongera Zainabu.
Ungefungua pia account huko fb na Instagram kwani masista duu na masharo wengi wapo kule.
Ukifungua hiyo akaunti,kila anachopost mtu maarufu hapa bongo nawe unaenda comment kwa chini yake,ndani ya wiki unaweza kuwa na followers zaidi ya buku,then hapo biashara inateremka tu.
Social media INA nguvu sana katika biashara kwa wakati huu.
Ndugu yangu asante sana kwa ushauri wako, sijafungua huko lakini ninakushukuru sana ni ushauri mzuri sana na nitaufanyia kazi, na mimi nitakitafuta ki sista duu kinifanyie hayo, kama yupo yoyote ataekubali kufanya kwa commission nipo tayari kumpa hiyo kazi.
Asante sana.

Dada Faiza asemayo platozoom ni kweli, hata mimi yamenikumba, inabidi ufanyie kazi kwa haraka sana watakuharibia soko lako.[/QUOTE
Inner instic zangu zilikuwa zinaniambia zainabu ni FF kwa post hii case closed

Ukisikia umbea ndo huo,kama Ff ni zainabu,so what
Dada Faiza asemayo platozoom ni kweli, hata mimi yamenikumba, inabidi ufanyie kazi kwa haraka sana watakuharibia soko lako.[/QUOTE
Inner instic zangu zilikuwa zinaniambia zainabu ni FF kwa post hii case closed
Dada Faiza ni mteja wangu wa kwanza humu JF na ninamsifu sana kwa ushauri na mengi anaonipa kupitia pm na ameniahidi Jumamosi atakuja kwangu Sinza anataka "kuupeleka mbele zaidi huu udongo" Ninakuomba nawewe uje kwangu Sinza kwa Remi Jumamosi saa nane ukutane na mimi na Dada Faiza. Sijawahi kumuona kwa sura ninafuraha sana na ninamsubiri kwa hamu.
Nahisi kakosea tu hata mimi ndio kwanza nimeona.
Asante
Zainab
Hay ma sister do na masharabaro, changamkieni kazi hiyo.
it seems like you are zainab but sio kesi BTW product ni good kwa kweli,kwa wale watoto/watu wazima wanao tokwa na vipele vya joto hii kitu inaondoa kabisa yale marasharasha.