Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #121
itabidi nimtume mtu hapo sinza kunichukulia huo udongo maana naona una matokeo amazuri kwa ngozi zetu
je na kitu gani kinaweza kuondoa gamba gumu kwenye unyayo wa miguu na kukufanya uwe nyororo dada zainab?
itabidi nimtume mtu hapo sinza kunichukulia huo udongo maana naona una matokeo amazuri kwa ngozi zetu
je na kitu gani kinaweza kuondoa gamba gumu kwenye unyayo wa miguu na kukufanya uwe nyororo dada zainab?
Dada Faiza ni mteja wangu wa kwanza humu JF na ninamsifu sana kwa ushauri na mengi anaonipa kupitia pm na ameniahidi Jumamosi atakuja kwangu Sinza anataka "kuupeleka mbele zaidi huu udongo" Ninakuomba nawewe uje kwangu Sinza kwa Remi Jumamosi saa nane ukutane na mimi na Dada Faiza. Sijawahi kumuona kwa sura ninafuraha sana na ninamsubiri kwa hamu.
Nahisi kakosea tu hata mimi ndio kwanza nimeona.
Asante
Zainab
Wala usijali mumy hiyo ilikuwa changamsha jukwaa naona kuna mkevwa mjumbe wa nyumba kumi imemuuma sana akadandia tren.nitakuja tena nitakuwa mteja mzuri sana
it seems like you are zainab but sio kesi BTW product ni good kwa kweli,kwa wale watoto/watu wazima wanao tokwa na vipele vya joto hii kitu inaondoa kabisa yale marasharasha.
Mavitu natural haya, tunayahitaji zaidi sisi wa umri mkubwa, mikunjo yo ngozi yote inaondoka, nikikaa na mtu wa miaka 25 ngozi yangu unaiona wawaaaa ng'warung'waru kuliko yake.
Age is just a number.
Unatumia nn?!
Wala usijali mumy hiyo ilikuwa changamsha jukwaa naona kuna mkevwa mjumbe wa nyumba kumi imemuuma sana akadandia tren.nitakuja tena nitakuwa mteja mzuri sana
Nyie vijana wa jamii mimi visa vyenu ninawaachia wenyewe mumaliziane.
Karibu sana, ni udongo mzuri sana, utafurahia.
Naomba utupie picha yako au ya mteja before and after ili tujue ka unachumbua au sio.
Miguuni tumia hii Zainabs Natural Super Clay, unaufanya paste kama dawa ya meno unaupaka na kuuwacha mpaka ukauke kabisa miguuni, kila siku. Baada ya wiki uje kutupa matokeo. Utafurahi.
Asante
Zainab
asante nikija hapo utanipa zote nione miguu yangu itaakaje maana mm ni mwanamke ati
Nimekutumia msg mumy na mimi nahitaji huo udongo ila nipo mkoa, utanisaidiaje?
Kama umetuma kwenye simu nitakupigia, upo mkoa gani, hebu tazama hii:
Dar es Salaam
Ilala = Raymond Mushi - 0713422069
Temeke = Latifa au Mama Latifa - 0652717332 / 076960627
Zanzibar (Unguja)
Dr. S. Shafi 0754650480
Arusha
Mama Aida -0754445733
Dodoma
Rukia - 0653249898
Iringa
Maganga - 0756900200
Mbeya
Maganga - 0756900200
Tanga
Farouq - 0719190000
Wazo lako ni zuli sana nitalifanyia kazi, nitafanya kila njia niombe mteja kijana mwenye matatizo ya chunusi usoni nimpige picha kabla na baada ya kutumia.
Asante
Zainab
dada zainab mi.nipo nachingwea naupataje huo udongo?
Nitakupigia, nimepata namba yako.
Asante
Zainab