Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #141
Nipo lindi mumy
mikoani je
Sasa haya ni matatizo wakati ndio uanaume wenyewe......wewe unataka kidevu cha mwanaume kiwe softi kama anataka kupaka wanja...........
Sasa haya ni matatizo wakati ndio uanaume wenyewe......wewe unataka kidevu cha mwanaume kiwe softi kama anataka kupaka wanja...........
Niko sinza naipata wapi Dada nataka nichukue sasa hivi
Nimependa sana marketing skills yako.
Lakini pia pia "confidence" imechangiwa na ubora wa product yako.
Angalia FaizaFoxy mtoto wa mtaa wa Udoe asije kukupeleka kitengo cha "uenezi" CCM (kidding).
Karibu sana.
Asante.
mikoani je
Upo mkoa upi?
Ni sh ngapi kwa paketi kwa bei ya dar (kariakoo)?
Ni sh ngapi kwa paketi kwa bei ya dar (kariakoo)?